Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Tushamlamba huyo....!?!!
:-D:-D:-D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushamlamba huyo....!?!!
wewe ni meneja wa SADOLIN?Nashukuru Mungu SIJAKUTONGOZA Kwani Na Hivi Nina SURA MBAYA Halafu NGUMU Sijui Kama Ungeweka Humu NYAGO Langu Ingekuwaje. Mungu Mkubwa!
ha ha ha ha please vampire_hunter007 mjibu huyu mama!!Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
ha...wachungaji wetu nao wanatupiaga eeeh!ha haha mbaya zaidi ukute mods naye alitumpia ndoano ha haha
tabia mbaya sana sijui alikuwa nataka kujaribu nini?
basi sawaTumpe muda, kuna confession nyingine itafata.
Sio,yule jamaa alishakiri na kuanika mambo hadharani japo hakutaja wahusika.Sio ile Id ya 47 sijui nini
wale nao ni binadamu na wanahaki zote japo mimi siwezi thibitisha hiloha...wachungaji wetu nao wanatupiaga eeeh!
Teh teh alikiri nini kwamba ni mwanaume ?? Sababu za kujifanya mwanamke alisema ni zipi ?? Hahaha sawa bana detective kwa kweli hapo sina la kukataa kwa sababu mwanamke akiamua kuchunguza jambo walahi hata CIA hawaoni ndani ,hicho kipaji mmezaliwa nachoSio,yule jamaa alishakiri na kuanika mambo hadharani japo hakutaja wahusika.
Anajiita 47pro na sasa hivi kasilimu anajichukulia toto la Kiislam soon.
Thread kama hizi namiss zile za lara 1 za Autobiography.
Nilifanya kazi nzito sana na detective mwenzangu Steph Curry hadi tukawajua wahusika wote....
du...hawajawahi kukufuata pm na id zao!!!wale nao ni binadamu na wanahaki zote japo mimi siwezi thibitisha hilo
hapana mkuu hawajawahidu...hawajawahi kukufuata pm na id zao!!!
Daaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?Teh teh alikiri nini kwamba ni mwanaume ?? Sababu za kujifanya mwanamke alisema ni zipi ?? Hahaha sawa bana detective kwa kweli hapo sina la kukataa kwa sababu mwanamke akiamua kuchunguza jambo walahi hata CIA hawaoni ndani ,hicho kipaji mmezaliwa nacho
Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.
Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.
Dah yalinipita aisee mara ya mwisho namwona kwenye ile thread yake sijui kwanini wanaume wanapenda kutongoza ,nikamwambia na wasiwasi wewe ni mwanaume hakujibu akapotea ,Daaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?
Sio mbaya,take it from me,ndivyo ilivyokuwa.
Naam,nami nikiwemo
Nikiamua kuchunguza jambo halinishindi aiseee.