My Experience with a Fake Female ID apa JF


Jesus take the wheel!
 
Dah yalinipita aisee mara ya mwisho namwona kwenye ile thread yake sijui kwanini wanaume wanapenda kutongoza ,nikamwambia na wasiwasi wewe ni mwanaume hakujibu akapotea ,
Yeah sina tatizo kabisa na wewe nakuamini sista ,
Hivi itakuwaje nawe ukiwemo kwenye list?
Hahahahaaaa
Naona wenzio washaanza kumwaga povu....

Basi ngoja nikupe ubuyu.
Hii JF ina watu wa ajabu sana,mimi nina dogo langu nae yupo humu.
Kuna lijamaa lilinitumia PM nikalikimbiza,kumbe limemtumia na dogo langu pia.
Tulicheka sana aiseee
Hii JF kuna watu mbalimbali na malengo yao mbalimbali.
Pia kuna watu wema sana,sana.
 
akikitumia nami usinisahau,maana ni shigidaaaaa, sipati picha hayo majinaaa huu ubuyu WA motoooo
Ngoja nikampelembe,sijui atakubali?
Ukisikia kuadhirika ndio huku sasa.
 
Mtoto wa kiume unaanzaje kujifanya mwanamke.....ni mawazo gani yanayokuingia mpaka ufikie maamuzi hayo.......??
Unaanzaje kutamani kufanya wanayofanya wanawake...

Hizi ni dalili za mwanzo kuelekea kwenye ushoga.....unapoanza kutamani kuwa au kufanya wanayofanya wanawake ingali wenye ni mwanaume utatamani kuolewa na kuzibuliwa mtaro wa maji taka.....

Shetani ana nguvu sana....
 
Hahaha aisee sistaa tokea nimejiunga jf sijawahi kwenda kwenye pm ya mtu ,hivyo huko mimi sipo aisee wala usiwe na shaka ,kuna mdau mimi alinitumia upuuzi wake pm ila cha ajabu ana Id ya kiume ,anasema yeye ni wa kike ,nilimtoa baru nikamwambia mimi ni mzee wa miaka 90 hicho anachotaka siwezi kumsaidia
 

Mi nahisi huyo jamaa anazingua watu tu.

Sidhani kabisa kama ni kweli...hivyo sidhani kama ataweka ushahidi wake hapa.

Watch this space....there's no there there!
 
Hahahahahaaa lucky you.
Wenzio huko waliko wameshakata glass kadhaa za maji.
 
kweli kabisa wema tupo japo wachache!!
 
Ulitaka mwenyewe kutongozwa, acha utongozwe. Usingependa usingejiita jamila wakati wewe ni jamal
 
Hahahahahaaa lucky you.
Wenzio huko waliko wameshakata glass kadhaa za maji.
Siku watakayo fanya attack kama ile wakati wa uchaguzi halafu PM ndio zisomeke kama News post ,sijui itakuaje teh teh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF kiboko [emoji23] [emoji23]
 
Kama ulitumia Id ya kike wewe ni wa kutongozwa tu hamna namna. Sasa ulitaka wanaume wakufanyaje, na bahati yako umewahi kujitumbua.
 
Watu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
 
Watu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
hhhahhaaaahaaaa....ha ha ha ha ha ha ha......uwiiii mkuu weka list hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…