Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jando walishaendaNahisi wapelekwe jando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jando walishaendaNahisi wapelekwe jando
Hahah...warudi tena miezi miwili tuu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jando walishaenda
Tehhteeehhh....[emoji13]Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
Wanaogopa msije mkajimilikisha wake zao, maana hii kampeni yenu kibokoHahah...warudi tena miezi miwili tuu
Ha ha ha ilikuwa imedinda?Watu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
wake zao wanalalamika sana hao jamaa ni aka round mojaWanaogopa msije mkajimilikisha wake zao, maana hii kampeni yenu kiboko
Hao wote uliowataja ni wanaume ukimtoa miss chagga.Ukute miss chagga au Evelyn Salt walikutongoza kwa zile ID yake ya kiume nao.
Cheza na comments na threads zinavyoandikwa, ukizi-meditate sana unaweza kamata kifaa, kuna majike humu wanajifanya wanaume pia.Looooh!!!...... Nilikuwa namtaka sana Jimena kule PM ila sasa hivi sina furahaa tena kwani sina uhakika tena kama ni ke!!.....this thread had disappointed me very much![emoji17]
Huyu atakua anatangaza biashara yake kiaina aiseeee.....Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
usijiwekee asilimia kubwa huenda nao wamekufeki pia
Katika kanuni na sheria za Jamii Forums: JamiiForums Rules Kifungu cha Nne(4) Kinakataza:Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Wacha weee.... HahaaaaaaaWatu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
Uwataje na waliokutafuna maana mwanamke wake mpododo