My Experience with a Fake Female ID apa JF

My Experience with a Fake Female ID apa JF

Kutokana na sheria za JF na maombi ya wananchi sitaweka screenshot....Bali nitataja tu na kutoa maelezo...

mshana jr upo ndugu yangu?
Hamna kitu hapo, ulikuwa unataka kick tu! Ila umejulikana, kama unataka uwe maarufu zaidi ebu mwaga mboga na ugali wewe mwenyewe asile mtu!
 
Ndugu Watanzania wenzangu,

Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.

Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....

Nitarudi kutumbua majipu....

Yours Faithfully,
Vampire_hunter007​
Hahahaha
 
Against the rules. Play it safe.

By the way, acha tu. Its not worth it.
 
Mmmmh, ngoja nipite tu

Teh teh teh....

Ni rahisi sana kuwachota watu humu kwa sensationalism!

Sasa subiri uone...akirudi tena na kutaja mtu au watu bila hata ya ushahidi wa kutosha utaona reaction ya watu.

People are getting excited over nothing.

I had a sneaking suspicion he/she was pulling some leg the moment I saw the thread.

He/she was just bluffing. There's no there there!

But, just to save face, don't be surprised if he/she comes up with a [fake] list of names claiming they were the ones who hit on him.
 
Umeongea ukweli mtupu. Mimi naomba awataje hao watu kama kweli anaweza.

Watu wansubiri sana ila hamna kitu hapa
 
Huwa wanaanza polepole hivi hivi, kwanza na female ID.

Halafu utatafuta nguo za kike.

Halafu utatafuta wigi na matiti bandia.

Halafu utatafuta wowowo bandia.

Halafu utataka mwanamme akupakate.

Halafu utataka kufanya operesheni kabisa.
Kuna vitu mwanamume hutakiwi licha ya kufanya kuvifikiria tu hutakiwi sasa jitu linasema lilijibatiza uanamke aagh inakera sana.
 
Ndugu Watanzania wenzangu,

Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.

Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....

Nitarudi kutumbua majipu....

Yours Faithfully,
Vampire_hunter007​
ngoja nikakutafutie rb kabisa dhubutu uone................
 
Unaona sasa....Haya mambo mi ndo siyatakagi......Sa jambo dogo tu hili mniroge....Yaishe basi nisije amka na dushelele kwenye paji la uso bure
Kaka kwel ww ni dume basi unato-dog. Bwege kabisa na longo longo zako.
 
Sina shaka na riport atakayoitoa Bw vampire_hunter007 tayari na wanasheria wa kutosha endapo atavujisha hiyo riport maana ni udhalilishaji mkubwa wa haki za binadamu!
 
Back
Top Bottom