My Experience with a Fake Female ID apa JF

Looooh!!!...... Nilikuwa namtaka sana Jimena kule PM ila sasa hivi sina furahaa tena kwani sina uhakika tena kama ni ke!!.....this thread had disappointed me very much![emoji17]
Cheza na comments na threads zinavyoandikwa, ukizi-meditate sana unaweza kamata kifaa, kuna majike humu wanajifanya wanaume pia.
 
Bahati nzr ulikuwa unatongozwa na wanawake WENZIO! Hapo ngoma droo.
 
Katika kanuni na sheria za Jamii Forums: JamiiForums Rules Kifungu cha Nne(4) Kinakataza:
4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.
 
Kutokana na sheria za JF na maombi ya wananchi sitaweka screenshot....Bali nitataja tu na kutoa maelezo...

mshana jr upo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…