miss chagga siyo dume.Ukute miss chagga au Evelyn Salt walikutongoza kwa zile ID yake ya kiume nao.
Hamna kitu hapo, ulikuwa unataka kick tu! Ila umejulikana, kama unataka uwe maarufu zaidi ebu mwaga mboga na ugali wewe mwenyewe asile mtu!Kutokana na sheria za JF na maombi ya wananchi sitaweka screenshot....Bali nitataja tu na kutoa maelezo...
mshana jr upo ndugu yangu?
HahahahaNdugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Mmmmh, ngoja nipite tu
Kama ile story ya aliyeuza cheni bandia naye akapewa hela bandia.usijiwekee asilimia kubwa huenda nao wamekufeki pia
Umeongea ukweli mtupu. Mimi naomba awataje hao watu kama kweli anaweza.Teh teh teh....
Ni rahisi sana kuwachota watu humu kwa sensationalism!
Sasa subiri uone...akirudi tena na kutaja mtu au watu bila hata ya ushahidi wa kutosha utaona reaction ya watu.
People are getting excited over nothing.
I had a sneaking suspicion he/she was pulling some leg the moment I saw the thread.
He/she was just bluffing. There's no there there!
But, just to save face, don't be surprised if he/she comes up with a [fake] list of names claiming they were the ones who hit on him.
Ukinitaja nakurogaWatu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
Yaah huu uthubutu mwingine wa ajabu sana wenzie wakiongea wana bana pua sasa yeye sijui alipokuwa anaandika anabana vidole!Watakua wameshakulamba,
Siamini kama umeachwa hivi hivi,
Ama kweli jinsia ya kiume ipo mbioni kupotea.
Kuna vitu mwanamume hutakiwi licha ya kufanya kuvifikiria tu hutakiwi sasa jitu linasema lilijibatiza uanamke aagh inakera sana.Huwa wanaanza polepole hivi hivi, kwanza na female ID.
Halafu utatafuta nguo za kike.
Halafu utatafuta wigi na matiti bandia.
Halafu utatafuta wowowo bandia.
Halafu utataka mwanamme akupakate.
Halafu utataka kufanya operesheni kabisa.
Ukinitaja nakuroga
ngoja nikakutafutie rb kabisa dhubutu uone................Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Kaka kwel ww ni dume basi unato-dog. Bwege kabisa na longo longo zako.Unaona sasa....Haya mambo mi ndo siyatakagi......Sa jambo dogo tu hili mniroge....Yaishe basi nisije amka na dushelele kwenye paji la uso bure
Umenifananisha na baba yako mkuu....Tumefanana mavazi tu...Maana yeye ni shog.aKaka kwel ww ni dume basi unato-dog. Bwege kabisa na longo longo zako.
ha ha haa, presha inapanda.....Ukishatuweka hadharani utafaidika na nn kwa mfano..