Teh presha inapanda presha inashuka...Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.
Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.
kumbe kutongozwa nayenyewe ni riziki??jamaa katuzibia riziki aisee mda wote pm zipo kimya kumbe wanaume wameenda kwa dume mwenzao
huenda aliona mwapata vinono[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
Unatujazia saver zetu za jeiefu bhana!! Ivi ulikua unataka nini mkuu ulivyokua unatumia ID ya kike?? (Just curiosity)
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Umesoma vizuri terms and conditions, dos and donts za JF member?Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Ndio chief....Baada ya kusoma ndo nikaahirisha zoeziUmesoma vizuri terms and conditions, dos and donts za JF member?
Ni sunaaakumbe kutongozwa nayenyewe ni riziki??
ungese unaanza hivi hivi kwa kuhisi dada zake wanafaidi.Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
ungese unaanza hivi hivi kwa kuhisi dada zake wanafaidi.
Thread closed.Ndio chief....Baada ya kusoma ndo nikaahirisha zoezi
Ndio, kidogo kidogo ndo mpaka watu wanafumua marindaungese unaanza hivi hivi kwa kuhisi dada zake wanafaidi.