My Experience with a Fake Female ID apa JF

My Experience with a Fake Female ID apa JF

Unatujazia saver zetu za jeiefu bhana!! Ivi ulikua unataka nini mkuu ulivyokua unatumia ID ya kike?? (Just curiosity)

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.

Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.
Teh presha inapanda presha inashuka...
 
Kwani list imeishia wapi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Unatujazia saver zetu za jeiefu bhana!! Ivi ulikua unataka nini mkuu ulivyokua unatumia ID ya kike?? (Just curiosity)

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Ni server mkuu...Server....Hiyo Saver uliyotaja sjui ndo kitu gani
 
Ndugu Watanzania wenzangu,

Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.

Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....

Nitarudi kutumbua majipu....

Yours Faithfully,
Vampire_hunter007​
Umesoma vizuri terms and conditions, dos and donts za JF member?
 
Ukiwataja hao waliokutongoza bhas usisahah na kuwarudishia hela walizokua wanakuhonga!
 
Back
Top Bottom