ah mie nsea hivyo maana hapa wenzio kila leo wanakuja lia kuwa wapenzi wao wa mbali wamecheat....leo mwengine alilamba utamu na wifi yake...ghafla kawa lesbian.....sasa wewe sijui utakuja sema nini baada ya mwaka
BAK naomba niwekee one moment in time wa whitney houston
ahsante sana kwa ushauri mzuri dada angu, niliyafikiria yote hyo pia, naomba na Mungu awe upande wangu tu, maana im very much in love, sina la ziada nishasema yes i willmy dear,
humfahamu huyo jamaa kabisaa! kumjua mtu kwa wiki kadhaa na kutengana nae haitoshi kuendelea kumjua kwa simu na skype. mziki wa ndoa unaanza mara baada ya kuishi pamoja, lakini kipindi cha uchumba utajua kama unadeal na ngoma, violin, hermonica, piano ama trumpet. ili ukiingia tu unajipanga.
nisikutishe sana, kila la kheri. wengine tuko old fashioned, hadi uwajue shangazi zake na kuchunguza kama unataka kumnunua mtoto wa mwanamke mwenzio. utualike ubwabwa huo tafadhali,lol
Chunguza tu thread za MMU ukonkludi mwenyewehii statementii imenifurahisha,daah baada ya tafakari ya kina nimeuhuzunika sana kumbe wengi ni wahanga wamapenzi
Wewe upo kundi gani?Hongera Bronty... tumefurahi kuskia kuna ambao wanapata penzi la dhati...
Hongeara sana, lakini be careful. .......a lot might have happened in one year esp. ughaibuni!akirudi tutapima ila pale mwanzo ilikuwa ilivokuwa tu but niko fiti mm nimepima