My fairy tale story

My fairy tale story

my dear,
humfahamu huyo jamaa kabisaa! kumjua mtu kwa wiki kadhaa na kutengana nae haitoshi kuendelea kumjua kwa simu na skype. mziki wa ndoa unaanza mara baada ya kuishi pamoja, lakini kipindi cha uchumba utajua kama unadeal na ngoma, violin, hermonica, piano ama trumpet. ili ukiingia tu unajipanga.
nisikutishe sana, kila la kheri. wengine tuko old fashioned, hadi uwajue shangazi zake na kuchunguza kama unataka kumnunua mtoto wa mwanamke mwenzio. utualike ubwabwa huo tafadhali,lol
 
ah mie nsea hivyo maana hapa wenzio kila leo wanakuja lia kuwa wapenzi wao wa mbali wamecheat....leo mwengine alilamba utamu na wifi yake...ghafla kawa lesbian.....sasa wewe sijui utakuja sema nini baada ya mwaka

Acha kumvunja moyo mwenzio,Mungu atamsaidia ktk kila stage atakayopitia.
 
BAK naomba niwekee one moment in time wa whitney houston

You've a very good taste when it comes to music. 🙂🙂

Last edited by a moderator:
my dear,
humfahamu huyo jamaa kabisaa! kumjua mtu kwa wiki kadhaa na kutengana nae haitoshi kuendelea kumjua kwa simu na skype. mziki wa ndoa unaanza mara baada ya kuishi pamoja, lakini kipindi cha uchumba utajua kama unadeal na ngoma, violin, hermonica, piano ama trumpet. ili ukiingia tu unajipanga.
nisikutishe sana, kila la kheri. wengine tuko old fashioned, hadi uwajue shangazi zake na kuchunguza kama unataka kumnunua mtoto wa mwanamke mwenzio. utualike ubwabwa huo tafadhali,lol
ahsante sana kwa ushauri mzuri dada angu, niliyafikiria yote hyo pia, naomba na Mungu awe upande wangu tu, maana im very much in love, sina la ziada nishasema yes i will
 
Hongera, lakini ukitoswa usisahau pia kutupasha wana JF
 
You've a very good taste when it comes to music. 🙂🙂

thanks so much dear napenda pale "and the answer are all up to me "
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera sana. Yote kwa yote sala na maombi ni muhimu
 
napita tu, kuna mtu nilikuwa namtafuta
nimemuona ngoja nimpige na mwiko
kwa nini kantoroka kaja huku?
 
nawatakia safari njema ya maisha
 
Nakutakia kila la kheri katika maisha mapya unayotarajia kuyaanza hivi karibuni...Mungu awaepushe na aina yoyote ya ibilisi atakaekwamisha mipango hiyo ya kheri!
 
Kila la heri Bronty!
Nimefurahi na msimamo wako huo wa "wakati wa furaha furahi, wakati wa machungu lia, lalamika".
Remember, there are no rose without thorns, so enjoy the rose scent and avoid it's thorns.
 
Hongera mwaya. . . hopefully nae anahisi amekula bingo kwako.
 
akirudi tutapima ila pale mwanzo ilikuwa ilivokuwa tu but niko fiti mm nimepima
Hongeara sana, lakini be careful. .......a lot might have happened in one year esp. ughaibuni!
 
hongera aisee...humu jamvini watu full kulalamika tu atleast wachache wenu mna good news
 
Back
Top Bottom