my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Wanawake banaWa Wema umemuona?
Teh teh....Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule
Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet
Nimemaliza breakfast si muda mrefu. Kwani unataka unitoe lunch?Umekula lunch ?
Sorry Wema ni nani?Wa Wema umemuona?
Kumbe wamjua?Hivi tuambie masomo huko uliweza kuyaweza au bado umekuwa kichwa ngumu kusumbua wazazi wako?
Upo huku kwa bibi au umerudi kwa Wazazi wako?
Wanawake bana