My future husband

My future husband

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Na mimi nimeamua kumuweka future husband wangu nisije nikaibiwa bure. Mkae mjuwe huyu ndio future husband wangu. Nampenda kuliko navopenda uhai wangu 💕💕

IMG_20181021_143305.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule

Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet
 
Back
Top Bottom