my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
- Thread starter
-
- #41
Dada usitudanganye unampenda kuliko uhai wako bila uhai utampendajeNa mimi nimeamua kumuweka future husband wangu nisije nikaibiwa bure. Mkae mjuwe huyu ndio future husband wangu. Nampenda kuliko navopenda uhai wangu [emoji177][emoji177]
View attachment 906010
www.google.comndio kina nani hao?
Kumbe na wew ni mzungu eehh
Mbona kama type za kina Martin Kadinda au james Delicious?
Inaitwa ChuraHii aina mpya ya ukichaa hii inaitwaje?
na manisha ninavyo mpenda naweza nimpe uhai wangu achukue. uhai wangu bila yeye bora achukue tuDada usitudanganye unampenda kuliko uhai wako bila uhai utampendaje
Unaota kujenga anganiDreams Come true
Hao watu kamanda hawajifichi ukimtizama tu utajua kama ni NGAPULILA.Kamanda kumbe nawe umetazama vyema
haitoka ikuje itokee. huyu ndio future husband mimi na yeye. yeye na mimi nothing can keep us apart π€Unapoteza muda wako..
Mwisho was siku utakuja kuolewa Na MTU kama msaga sumu
Haukuwahi kujuwa π€Kumbe tuna wazungu humu humu.
YEAH. them lips and eyes ππUwiiiiiiiii kaka HB huyo
Hahahaaaaa shoga angu niambie hata kajina kake anaitwa nani?YEAH. them lips and eyes [emoji7][emoji7]
Kama anaweza mgegedo safi uhb utakuwa na maana mana sifa ya mwanaume ni kupiga game mpk manzi azimie kwa raha za utamYEAH. them lips and eyes [emoji7][emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa bhanaWanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule
Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kΓ olewa nΓ shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet