My future husband

My future husband

IMG_20181021_144502.jpg


Awww 😍😍
IMG_20181021_144502.jpg
 
Usikute hata mke wa Wasira alitaka kuolewa na Michael Jackson lkn angalia alipoishia
 
Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule

Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa bhana
 
Back
Top Bottom