My future husband

My future husband

Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule

Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wamjua?

Huyu alijiandika sana humu..
Utakuwa labda umemsahau.. alianzia kipindi wazazi wake wanahamia Canada na yeye na wadogo zake wakawa wanaenda kuishi huko wakiondoka Tanzania.. akaanza kwa kutuaga na kuja na vituko vya umri wake vingi humu.. nilikuwa namsoma tu.. napenda kumsoma..

Sasa anazidi kukua binti mdogo huyu.. 😁
 
Huyu alijiandika sana humu..
Utakuwa labda umemsahau.. alianzia kipindi wazazi wake wanahamia Canada na yeye na wadogo zake wakawa wanaenda kuishi huko wakiondoka Tanzania.. akaanza kwa kutuaga na kuja na vituko vya umri wake vingi humu.. nilikuwa namsoma tu.. napenda kumsoma..

Sasa anazidi kukua binti mdogo huyu.. [emoji16]
Oouh... Bila shaka unajua kuelezea wajukuu watapata raha kwenye usimuliaji wa hadithi.
 
Back
Top Bottom