My future husband

Ni muhimu sana kama hujui
Majukumu ya mtoto wa kwanza kwenye familia na wa mwisho ni tofauti.
Kiwango cha elimu kwenye familia ni muhimu pia kujua je ni yeye pekee amefanikiwa kufika level ya degree/diploma/masters kwenye familia n.k
Ooooh!! Na kweli kwa hizi familia zetu masikini mtoto wa kwanza akitusua kazi anayo.
 
Mleta mda kuna jamaa dereva wa basi la mikoani anasafiri sana vipi nikupe namba yake ??. Utasafiri sana hutojuta kabisa
 
Hello wife! Your husband material is here. Ni mcheshi kupindukia! Ni mcha Mungu, hela ya kula ipo! Ni mkatoliki mwenzako, tena aliyebakiza miezi michache tu kuwa Padiri! Yaani hapa nilipo tayari nimeanza Novena ya Mt. Rita wa Acacia, ili niweze kupata fedha ya kulipia mahari kabla hujamaliza chuo!

Sema tu umri wa mume wako umeenda kidogo! Lakini mbona rafiki yangu Lyatonga ameoa kigori! Kwa nini mimi nishindwe! Pia sitafurahishwa na hiyo miguu yako ya kuku ya kupenda kusafiri! Na huu umri wangu, si nitakua naibiwa na mabaharia kila siku humo kwenye magari!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tate mkuu karibu pm tusije tukamwaga mtama kwenye kuku weng[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…