funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Hivi makaveli10 huko single?Nipo hapa FUTURE PARTICIPLE TENSE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi makaveli10 huko single?Nipo hapa FUTURE PARTICIPLE TENSE.
Kila la kheriGlenn Mungu ananjia nyingi za kukutanisha watu nipende kukujulisha kuwa uwo mgodi unaotembea nimeupata tena niseme ni zaidi ya Mgodi tena yaliomo ndani ya mgodi ni makubwa zaidi ya mgodi wenyew [emoji16]
Dah!Samahan umechelewa[emoji26] Akabi kemanya
Nimeoa kaka, mbona nilikutumia na mualiko kabisa?!!!Hivi makaveli10 huko single?
Look no further. The man you’re looking for is finally here. Grab this opportunity now!!!Dear future husband nakusubir kwa hamu kubwa iliyo kifani tuanzishe safari ya upendo wa agape pamoja [emoji173] moyo wangu unaniambia upo sehemu fulani lkn kutokana na hali nilionayo sahv ya kusoma sipati mda wa kutembea tembea mbali na kanisani, chuoni, hostel napokaa na nahic hausali sehemu naposali mm hvyo nahc tunapishana
Umri wa mkeo mtarajiwa sa hv amefikisha miaka 24 sifa za mkeo mtarajiwa ni
Mpole
Mcheshi
Sipendi kununa napenda kufurahi mda wote
Napenda kusafiri safiri ivyo ukinifanya niwe nasafir safiri nitafurah zaid[emoji16]
Mwenye upendo wa kweli na hofu ya Mungu na ni mkatoriki
Dear future husband
Natamani uwe mcheshi , mpole, mwenye hofu ya Mungu upendo wa dhati mkarimu na mtu wa kusafiri safiri coz napenda kusafir safiri
Mwenye chachu ya mafanikio coz napenda mafanikio
Dear future husband nachotaka zaidi ni upendo kama wa kristo alivyolipenda kwasababu upendo ubeba vyote nami na ahidi nitakuheshimu kama maandiko yanavyotuagiza
🤣🤣🤣🤣🤣
Umeshanipata karibu sana,pia nimeshakaribia njoo tuyajenge!Dear future husband nakusubir kwa hamu kubwa iliyo kifani tuanzishe safari ya upendo wa agape pamoja [emoji173] moyo wangu unaniambia upo sehemu fulani lkn kutokana na hali nilionayo sahv ya kusoma sipati mda wa kutembea tembea mbali na kanisani, chuoni, hostel napokaa na nahic hausali sehemu naposali mm hvyo nahc tunapishana