Dear future husband nakusubir kwa hamu kubwa iliyo kifani tuanzishe safari ya upendo wa agape pamoja [emoji173] moyo wangu unaniambia upo sehemu fulani lkn kutokana na hali nilionayo sahv ya kusoma sipati mda wa kutembea tembea mbali na kanisani, chuoni, hostel napokaa na nahic hausali sehemu naposali mm hvyo nahc tunapishana
Umri wa mkeo mtarajiwa sa hv amefikisha miaka 24 sifa za mkeo mtarajiwa ni
Mpole
Mcheshi
Sipendi kununa napenda kufurahi mda wote
Napenda kusafiri safiri ivyo ukinifanya niwe nasafir safiri nitafurah zaid[emoji16]
Mwenye upendo wa kweli na hofu ya Mungu na ni mkatoriki
Dear future husband
Natamani uwe mcheshi , mpole, mwenye hofu ya Mungu upendo wa dhati mkarimu na mtu wa kusafiri safiri coz napenda kusafir safiri
Mwenye chachu ya mafanikio coz napenda mafanikio
Dear future husband nachotaka zaidi ni upendo kama wa kristo alivyolipenda kwasababu upendo ubeba vyote nami na ahidi nitakuheshimu kama maandiko yanavyotuagiza