Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Nilishwaambieni tangu awali lazima atateuliwa Wilson Mukama.
Ni bora huyu kuliko Makamba!
Cha msingi, Chelsea wahakikishe wanafanya mashambulizi ya nguvu na kulinda kingangari ili wasiruhusu goli....Man U wakitangulia kufunga, itakula kwao mazima.
Shikamoo AD.
mhhh.....Babu, inaonekana leo kichwa kinauma, sasa sijui waweza kujiganga mwenywe.....au tukutafutie nduguyo panadol....