My girlfriend has a girlfriend

My girlfriend has a girlfriend

Nilishwaambieni tangu awali lazima atateuliwa Wilson Mukama.

Ni bora huyu kuliko Makamba!

Cha msingi, Chelsea wahakikishe wanafanya mashambulizi ya nguvu na kulinda kingangari ili wasiruhusu goli....Man U wakitangulia kufunga, itakula kwao mazima.

Shikamoo AD.

mhhh.....Babu, inaonekana leo kichwa kinauma, sasa sijui waweza kujiganga mwenywe.....au tukutafutie nduguyo panadol....
 
Hahahah lol
Ok bore nisiingilie sana
siko kwenye mood ya kubishana
Ila mie Man U wakitangulia hii sandwich
Ndo nta meza vizuri lol. .

Marahaba hujambo ae
babu nzuri..

Unajua yule dereva angekuwa hajalewa, asingegona lile lori....tusingepoteza wale waimbaji mahiri wa 5 Star....Kifupi muziki wa taarabu umepata pigo kubwa sana.
 
mhhh.....Babu, inaonekana leo kichwa kinauma, sasa sijui waweza kujiganga mwenywe.....au tukutafutie nduguyo panadol....

Unajua Keren,

Kama si usimamizi mbovu wa wataalam wetu na viongozi wetu, hii barabara ya Kilwa isingeharibika hivi wakati haina hata miaka miwili tangu izinduliwe....kila mahali ni uzembe...uzembe na uzembe!
 
Unajua yule dereva angekuwa hajalewa, asingegona lile lori....tusingepoteza wale waimbaji mahiri wa 5 Star....Kifupi muziki wa taarabu umepata pigo kubwa sana.

Babu leo inaonekana
una huzuni na hasira
What ever it is I'm sorry..
Hopeful utajisikia vizuri muda si
Mrefu otherwise ur more than welcome
chumbani..lol
 
Unajua Keren,

Kama si usimamizi mbovu wa wataalam wetu na viongozi wetu, hii barabara ya Kilwa isingeharibika hivi wakati haina hata miaka miwili tangu izinduliwe....kila mahali ni uzembe...uzembe na uzembe!
Hivi Yanga ndio bingwa wa ligi kuu, maskini Simba kapakatwa
 
Unajua Keren,

Kama si usimamizi mbovu wa wataalam wetu na viongozi wetu, hii barabara ya Kilwa isingeharibika hivi wakati haina hata miaka miwili tangu izinduliwe....kila mahali ni uzembe...uzembe na uzembe!

Mhh!!!????........
Jamani mimi i need my babu back...huyu mbona simwelewi?!!!!...Please help....:help::help::help:
 
Babu leo inaonekana
una huzuni na hasira
What ever it is I'm sorry..
Hopeful utajisikia vizuri muda si
Mrefu otherwise ur more than welcome
chumbani..lol

Mhh!!!????........
Jamani mimi i need my babu back...huyu mbona simwelewi?!!!!...Please help....:help::help::help:

Hapana, niko kawaida tu wapendwa.

Tatizo ni hii serikali yetu ina watu wababaishaji sana. Wametumia gharama kubwa kujenga machinga complex ili kuwasaidia vijana wetu wamachinga wajikimu na maisha, waachane na vibiashara vya kubangaiza. Sasa hebu angalia, wamegawia ndugu zao na kuwaacha wamachinga wa watu wakihaha mitaani.

Back to the topic: Kichwa kimeshapona sasa: Keren na AD hebu nisaidieni.

Kama wananawake wanaweza kuridhishana kimapenzi wao kwa wao, inathibitisha kuwa baioloji ya kiume si muhimu sana kwao.....Sasa hii kelele wanaume wana "vibamia" inatoka wapi??

Naombeni majibu kabla kichwa hakijauma tena.
 
so?
inaeleweka ivo
thats y kaleta apa for wat to do...si km hajui ni msagaji...naenda kusaga ..ulez...badayeeeeeee

Hahahah we mwanaum
mwenzangu wewe unavituko
Mway embu mwache atupeleke
class kidogo labda mwenzio ana PHD
Kwenye hii section..lol
 
Hapana, niko kawaida tu wapendwa.

Tatizo ni hii serikali yetu ina watu wababaishaji sana. Wametumia gharama kubwa kujenga machinga complex ili kuwasaidia vijana wetu wamachinga wajikimu na maisha, waachane na vibiashara vya kubangaiza. Sasa hebu angalia, wamegawia ndugu zao na kuwaacha wamachinga wa watu wakihaha mitaani.

Back to the topic: Kichwa kimeshapona sasa: Keren na AD hebu nisaidieni.

Kama wananawake wanaweza kuridhishana kimapenzi wao kwa wao, inathibitisha kuwa baioloji ya kiume si muhimu sana kwao.....Sasa hii kelele wanaume wana "vibamia" inatoka wapi??

Naombeni majibu kabla kichwa hakijauma tena.

Mimi nafikiri kuna tofauti; kuna hao ambao wanaona hawahitaji wanaume, na kuna wale ambao wanawahitaji wanaume. Kwahiyo malalamiko hayo yatakuwa kwa wale ambao bado wanahitaji wanaume ili waridhike! Kundi hilo lingine la kwanza, sidhani kama watakuja na malalamiko hayo babu...sijui nimejibu swali lako?
 
Haya babu nchi yetu
ndivyo ilivyo na ndivyo ilivyokuwa
mpaka huyo mtu anayeitwa CCM afe..
kabla ya hapo hakuna kitakachobadilika
tunahitaji mabadilikoa na maendeleo basi
Tunahitaji akili changamoto na mpya I mean
Tunahitaji chama kipya..

Kuhusu ya wanawake
Kweli si wengi wanaoenda kwa
wanawake wenzio..lakini kwa mimi
nilivyosikia is something so special..
 
How do you DA Dear?
:focus: Personally Im not against "sexual orientantion", of others. Every one has the right of doing whatever he/she likes with his/her body only if, and only if, he/she is not imposed by the other. But in real life, let's try not to do what we dont want to be done by others. Have you ever asked your girlfriend "what would she feel or decide if her husbands confess that he's gay and has a partner outside their marriage?".
 
Trust me
Right now she want her hubby
to do samething wrong...
She wants her hubby to say I'm gay
oI cheated on u .. so she can walk away easily..
 
Haya babu nchi yetu
ndivyo ilivyo na ndivyo ilivyokuwa
mpaka huyo mtu anayeitwa CCM afe..
kabla ya hapo hakuna kitakachobadilika
tunahitaji mabadilikoa na maendeleo basi
Tunahitaji akili changamoto na mpya I mean
Tunahitaji chama kipya..

Kuhusu ya wanawake
Kweli si wengi wanaoenda kwa
wanawake wenzio..lakini kwa mimi
nilivyosikia is something so special..

Natamani nijue ni kitu gani wanawake wanachokipata kwa wanawake wenzao ambacho mwanaume mwenye "kabamia" anashindwa kuwapa!
 
Mimi nafikiri kuna tofauti; kuna hao ambao wanaona hawahitaji wanaume, na kuna wale ambao wanawahitaji wanaume. Kwahiyo malalamiko hayo yatakuwa kwa wale ambao bado wanahitaji wanaume ili waridhike! Kundi hilo lingine la kwanza, sidhani kama watakuja na malalamiko hayo babu...sijui nimejibu swali lako?

Nimekuelewa Keren wangu lakini dah!..........Aisee wanawake bana!

Natamani nijue hao wanawake wanaowafanya wanawake wenzao, huwa wanafanya kipi hasa ambacho mwanaume anashindwa kuwafanya mpaka wanakimbilia kwa wanawake wenzao......natamani sana kujua.

Kuna mjukuu yoyote anayefanya/fanywa na mwanamke mwenzie ampe babu somo hili gumu?
 
Natamani nijue ni kitu gani wanawake wanachokipata kwa wanawake wenzao ambacho mwanaume mwenye "kabamia" anashindwa kuwapa!

Daahh
babu mie hata kuandika
hapa siandiki story nilizopewa
na Mshukuru mungu mimi sio mpagani..
na ninaelewa napenda wanaume ..
otherwise ningeshaingia mtegoni vitu
Vingine sikilizia hata usifikirie kujaribu..
lakini hizo story babu mmhhh
 
Niambie kwa PM bathi? LOL

Manake naona mwanaume anacho kila kitu alichokuwa nacho mwanamke ambacho anaweza kukitumia ili amridhishe mwanamke...tena ana advantage ya kuongezewa na mtarimbo....au wanatumia manyonyo?:help::help:
 
Nimekuelewa Keren wangu lakini dah!..........Aisee wanawake bana!

Natamani nijue hao wanawake wanaowafanya wanawake wenzao, huwa wanafanya kipi hasa ambacho mwanaume anashindwa kuwafanya mpaka wanakimbilia kwa wanawake wenzao......natamani sana kujua.

Kuna mjukuu yoyote anayefanya/fanywa na mwanamke mwenzie ampe babu somo hili gumu?

Babu.. kwa kweli hata mimi sijui wanafanya nini..mhh!!!

Mimi mwenzio nilifikiri haya yanafanyika huko kwa wenzetu waliondelea, kwamba hapa kwetu Tanganyika bado...mhhhh! Nilivyoshushiwa hiyo shule na Rose...kwamba yanaanzia wapi (shule za wasichana)...mpaka nimeogopa kabisa! Maana nilikuwa naogopa mafataki....sasa kumbe mabinti nao ni hatari....mhhhh! Mungu aturehemu kwa kweli.....😛ray:
 
Nimekuelewa Keren wangu lakini dah!..........Aisee wanawake bana!

Natamani nijue hao wanawake wanaowafanya wanawake wenzao, huwa wanafanya kipi hasa ambacho mwanaume anashindwa kuwafanya mpaka wanakimbilia kwa wanawake wenzao......natamani sana kujua.

Kuna mjukuu yoyote anayefanya/fanywa na mwanamke mwenzie ampe babu somo hili gumu?
Kwa yale kidogo niliyosoma na kusikia, mwanamke hahitaji bamia tu ili limfikishe anakotaka. Kibaolojia, raha zaidi katika ngono ipo juu juu zaidi kuliko ndani kabisa (hapa unaingia ule mjadala wa uhusiano raha na ukubwa na udogo wa bamia).

Kwa upande mwengine, nafikiri hawa jamaa wanavutiwa na "new experiencies". Kuna uwezekano, kwa mawazo yangu, kuwa pengine mwanamke anamwelewa zaidi mwanamke mwenzake kwa kuwa wote wanamiliki kilekile na kujua zaidi vianzio vya "sensitive nervers zao"; ndio maana mara nyengine tunapata malalamiko ya wengine hapa wanapodai kuwa wenza wao hawawafikishi.

Lakini kama mawazo yangu haya ni sawa, kwa nini mwanamke asimwambie mume/mwenza wake pale anapotaka hasa aguswe badala ya kukimbilia kile ambacho maadili, dini na jamii bado haikikubali? Hapa la kufanya ni " ya Ngoswe tuwawachie wenyewe akina Ngoswe".
 
Back
Top Bottom