tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
Na kweli huyu jamaa ni wa kwenda naye mwendo wa jongoo usishangae baadae jamaa akawa anapiga THREESOME na hao wawili wengine(his wife and that other chick).Huyo njombi yuko closed-minded tu. Ni wa kwenda naye mwendo wa jongoo na mwenyewe ataingia laini.
My dear
thank you so much for this
beautiful artical..
but the thing is she doesn't want her hubby
any more.. she just want her son and family members
Except her husband..
she is looking for the way to break this news without
creating a big drummer..
she is ready to move on..
Yaani huyo
hataki tena tendo la ndoa
Na mumewe.. haimfurahishi..dahhhh
Yaani huyo
hataki tena tendo la ndoa
Na mumewe.. haimfurahishi..dahhhh
Inaonyesha mme wake alikuwa hamkuni sawa sawa.
Hapo kwenye dots nafumba macho, ankal inawezekana kwa kiasi kikubwa huyu rafiki yake AD anatafuta ushauri jinsi gani ya kumwambia mume wake na sio namna gani ya kuacha hako kamchezo maana ameishakuwa PROFESSIONAL PLAYER, I tell you wengi wao wanaofanya hako kamchezo kuacha ni ngumu sanaANALYSIS
-yuko kwenye ndoa
-ana mtoto wa miaka 5
-wanaishi maisha ya amani
-ameburudika na mwanamke mwenziwe na mzuka ukakolea kuliko akiwa na mume wake
-anataka kufunga ndoa na mwanamke mwenzake.
SUALI: AD huyu mdada anatafuta ushauri wa lipi jema? au anatafuta ushauri wa jinsi gani amwambie mume wake na aridhie? au vipi atavunja ndoa yake ili akaolewe na hako ka blender.
NIONAVYO MIMI: Hatafuti ushauri, soma hapo red juu, she is after something and she chose u ............................ hapa kwenye dots atamalizia ze finest.
halaf tangu jana nimeongezewa kamshahara kazini basi niko serious kweli, unaombwa usipuuzie huu ushauri nimeoteshwa yaani.
mmmhhhhANALYSIS

Komredi wengine ni vingedere magari tu hata iweje. Hata uvikune kwa msasa havitatulia. Yaani full mapepe macho kichwa juu.
Mapenzi ameshahamishia kwa huyo GF wake
Inaonekana hawezi kuinusuru ndoa yake tena
Aende kuolewa na huyo GF wake amwache mtoto kwa babake
asije kumwambukiza tabia mbaya mwisho wa siku mtoto naye
akawa kama mama yake
Hivi umemuuliza kuwa kama anaweza kuacha haka kamchezo amekujibu vipi?? Maana i doubt kama anaweza kuachammmhhhh
Hapana unavyofikiria sivyo..
yeye anataka ushauri wa kuchapa
Mwendo bila ku creat a big drummer..
Shetani yupo shambani anavuna kiulaini!!!tumrudie Mungu jamani.
Hommie inakuwaje ebwana ile juzi kati tulikuwa tunazungumzia ishu hizi hiziYeah huu ushauri wa busara aombe talaka aende akaolewa na huyo msagaji.
Bora afanye mapema kabla jamaa hajagundua maana itakuwa balaaa.
Hivi umemuuliza kuwa kama anaweza kuacha haka kamchezo amekujibu vipi?? Maana i doubt kama anaweza kuacha
nope, anaweza kabisa kuishi na familia yake vizuri huku akiishi na GF wakeMapenzi ameshahamishia kwa huyo GF wake
Inaonekana hawezi kuinusuru ndoa yake tena
Aende kuolewa na huyo GF wake amwache mtoto kwa babake
asije kumwambukiza tabia mbaya mwisho wa siku mtoto naye
akawa kama mama yake