Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwa yale kidogo niliyosoma na kusikia, mwanamke hahitaji bamia tu ili limfikishe anakotaka. Kibaolojia, raha zaidi katika ngono ipo juu juu zaidi kuliko ndani kabisa (hapa unaingia ule mjadala wa uhusiano raha na ukubwa na udogo wa bamia).
Kwa upande mwengine, nafikiri hawa jamaa wanavutiwa na "new experiencies". Kuna uwezekano, kwa mawazo yangu, kuwa pengine mwanamke anamwelewa zaidi mwanamke mwenzake kwa kuwa wote wanamiliki kilekile na kujua zaidi vianzio vya "sensitive nervers zao"; ndio maana mara nyengine tunapata malalamiko ya wengine hapa wanapodai kuwa wenza wao hawawafikishi.
Lakini kama mawazo yangu haya ni sawa, kwa nini mwanamke asimwambie mume/mwenza wake pale anapotaka hasa aguswe badala ya kukimbilia kile ambacho maadili, dini na jamii bado haikikubali? Hapa la kufanya ni " ya Ngoswe tuwawachie wenyewe akina Ngoswe".
Hapo kwenye red ndipo mimi apo konfyuzd kabisaaaa!