Kwa mwenye ujuzi, gari yangu gx110 inatoa sauti ya kishindo wakati wa kuhamisha gear kwenda Drive na reverse, bushing zote za nyuma nimebadilisha pamoja na CV joint pembeni ya diff lakini naona shida haija kwisha sasa sijajua shida ni kitu gani maana fundi akiangalia mounting za differential na engine anasema zipo sawa naomba msaada wenu mafundi na wazoefu wa hili tatizo