My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

uzuri wa kitu chochote kwa mtazamo ni macho yako. Mie hawa wote nawaona wabayaaaa vipodozi tu na maisha fulani vinawasitiri, peleka kijijini, ondoa make up uone watakavyoonekana!
 
aaaah.....weweee ! na babaako atasemaje ?
anajua mwenyewe atasemaje, kwani wewe unaposema akina Wema Sepetu, Nancy Sumari ni most beautiful unamaanisha nini, je ma-bwana zao watasemaje?
Is she a celeb too?
yes off course, she is a celeb to me and the family too, kwani wewe mama yako ni nani kwako? au kinyago?
 
yes off course, she is a celeb to me and the family too, kwani wewe mama yako ni nani kwako? au kinyago?

Tafadhali kuwa mstaarabu basi...mbona unaanza kutumia kauli za kejeli wakati hakuna aliyekukejeli?
 
watu8 Mercy galabawa kajiharibu ngozi alikuwa mzuri mno zamani
huwezi pata picha kabla hajajikoboa?

halafu huyo mshindi wa face of Tanzania
ana picha nyingi tu nzuri na Meninna Atick pia
hebu watendee haki aisee
 
Last edited by a moderator:
jaman kuna mdada alimaliza udsm mwaka 2008 kitivo cha social science alikuwa anaishi block F mabibo hostel. anaitwa SOFIA. she is the most beautiful girl I have ever seen. kama kuna mtu anamjua tupia picha yake hapo.
 
24: Illuminata Wize



 
Mpwa watu8 hii sredi yako hujanitendea haki an you know why......:help:
 
Last edited by a moderator:
Mpwa watu8 hii sredi yako hujanitendea haki an you know why......:help:

hahah...mkuu hebu nitupiemo jina la mlimbwende yoyote mwenye sifa za ile mizigo yetu ile...iliyojaaliwa neema za allah
nami huku ntapekua pekua makabrasha yangu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…