My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Kila mwanaume ana vigezo vyake vy KUPIMA uzuri wa mwanamke na ndio maana Mungu kwa kujua hilo aliumba wanawake wenye sura na maumbile tofauti tofauti.
Hapa hakuna anaye meet vigezo vyangu!!!
 
Mpwa watu8 hii sredi yako hujanitendea haki an you know why......:help:

Mpwa hizi bidhaa ni mahsusi kwa ajili yako tu wala watu wengine wasione...

Shilole
SHILOLE.jpg

Vera
Vera-6.jpg

Agnes Gerald

8ad297da4fL.jpg

Dokii

dokii2.jpg
 
Huyo ni Mtanzania tena mzuri kuliko wote mliowabandika, Tazama hapo ni natural, hakuna rangi wala mkorogo wala nywele za maiti, compare na hao wengine waliobandikwa uone kama hao wengine hawautafuti huo uhindi kwenye makopo.

Tatizo mimi na wahindi atakaetupatanisha ni Mungu tu hata kama angekuwa mwema vipi lakini akishakuwa Mhindi kwangu basiiiiiiiiiiiii
 
lakini ni mhindi wa shinyanga !.....anapiga kisukuma kama anatoka kijiji kimoja na mzee wa vijecenti aka kodi ya sim kadi !

Hata kama angekuwa Mhindi wa Rukwa ama Katavi kwangu Mhindi hatabadilika kamwe ataendelea kuwa mhindi tu milele amina
 
Tatizo mimi na wahindi atakaetupatanisha ni Mungu tu hata kama angekuwa mwema vipi lakini akishakuwa Mhindi kwangu basiiiiiiiiiiiii

Hayo ni matatizo yako binafsi na yapo kichwani inapaswa umuone daktari haraka sana.

Isitoshe, hao wengine wenye kuutaka uhindi kwa kubandika nywele za maiti na weupe wa makopo kwako ni sawa?

Mwenzetu huyu ni mgonjwa sana...- Matangazo baada ya habari enzi za Nyerere.
 
Boss umejitahidi ila kwa kweli hujamtendea haki namba 8.
The kid is sweet.ungemsogeza mpaka angalau namba awe namba 2 ama tatu.
 
Wote warembo MashAllah. Ila mi hizo nywele sipendagi hayo madude ya kubandika yanawatoa kwenye asili yao.
 
Soma title.amekwambia the most beautifuly female tanzania celebrities.ao wa mtaani sio celebritie.elewa mada
 
Hahah mkuu hizo namba hazimaanishi rankings bali nimeziweka kurahisisha mpangilio tu...

Wote nawakubali na wote ni walimbwende!

Boss umejitahidi ila kwa kweli hujamtendea haki namba 8.
The kid is sweet.ungemsogeza mpaka angalau namba awe namba 2 ama tatu.
 
Wote warembo MashAllah. Ila mi hizo nywele sipendagi hayo madude ya kubandika yanawatoa kwenye asili yao.

Best hizo nywele karibia kila mdada anabandika siku hizi...
 
Mpwa hizi bidhaa ni mahsusi kwa ajili yako tu wala watu wengine wasione...

Shilole
SHILOLE.jpg

Vera
Vera-6.jpg

Agnes Gerald

8ad297da4fL.jpg

Dokii

dokii2.jpg

....eeeeeeeh mutu ya watu kuya huku ....makambo.....!!! makambo.....!!!! makambo......!!!!

...nasepeli mingi!!!!
 
Mpwa hizi bidhaa ni mahsusi kwa ajili yako tu wala watu wengine wasione...

Shilole
SHILOLE.jpg

Vera
Vera-6.jpg

Agnes Gerald

8ad297da4fL.jpg

Dokii

dokii2.jpg

Didaa.jpg

Zamaradi Mketema wa le Boss Muta
zamaradi.jpg

Shamsa Ford.....
DSC_9233.JPG

Snura wa Majangaaaaaaaa..........
R35A5043.JPG

Aunt Ezekiel......
aunt_ezekiel_01.jpg

:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 
Back
Top Bottom