My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Nachuro unapatikana kwa wake zetu tu mkuu...

Wa hawa maselebriti ni wa kubembeleza...

naona wapo wanaopenda kweli urembo wa power point aka wa kununua....
sijui natural tutautoa wapi
 
ahaa kumbe ana kichwa cha ufanisi kwelikweli na anatafuta maisha nimempenda siowale walimbwene kazi yao kubwa ni kupiga soga na kujiuza magazetini tena yale magazeti ya udaku wananikera hawajui kuwa wao ni kioo cha jamii yetu ya tanzania
Nancy Sumari yupo hapa hapa Tanzania, kwa sasa nadhani kaweka kando hizi shughuli za ulimbwende bali akishirikiana na wenzake walifungua Kampuni iitwayo Frontline Management Limited
 
images
images
images
images
images
images
images

Hawa ndiyo warembo wa ukweli mkuu wangu watu8 hakuna make up,manywele ya bandia,mkorogo,makucha ya kubandika na nk.Hawa wanawakilisha kundi kubwa la wanawake wa vijijini ukibahatika kumpata ukamleta mjini ukampigisha viwalo vya ukweli pamoja na misosi ya uhakika nakuhakikishia hakuna cha Wema sijui Jackline wote watapigwa chini.

Picha kwa hisani ya vijiji Masaini,Masasi,Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...mkuu mbona huwa nasikia wana make-ups zao za asili...mathalani kwa wamaasai huwa wanapaka jibini na udongo fulani ambao ni mahsusi kwa ajili ya kutunza ngozi.

images
images
images
images
images
images
images

Hawa ndiyo warembo wa ukweli mkuu wangu watu8 hakuna make up,manywele ya bandia,mkorogo,makucha ya kubandika na nk.Hawa wanawakilisha kundi kubwa la wanawake wa vijijini ukibahatika kumpata ukamleta mjini ukampigisha viwalo vya ukweli pamoja na misosi ya uhakika nakuhakikishia hakuna cha Wema sijui Jackline wote watapigwa chini.

Picha kwa hisani ya vijiji Masaini,Masasi,Zanzibar.
 
Mkuu uzuri aka mvuto kwa maana ya beautiful kwa kimombo unamaanisha muonekano wa nje, Hii ina jumlisha sura, umbo pamoja na viungo vyako vya mwili..........hapa ndio utapata Mzuri wenye mvuto ingawa kibinaadamu hakunaga mtu mbaya

Mkuu nafiki hapo kwenye red ndipo unapochanganya mambo.

Unataka kulinganisha uzuri na mvuto aka beauty and attraction.

Attraction ni zaidi ya sexuality au sensuality.

Kwa hiyo, unapolinganisha uzuri na mvuto una limit maana nzima ya attraction.

Kuna wanawake ambao siyo wazuri lakini, are very attractive in deed.

Pia kuna wanawake wako very beautiful but they are not attractive.

Sina maana kuwa all beautiful women are not attractive. Some are, but not all.

Kila mwanamke ni mzuri, lakini baadhi wanaweza kuwa wazuri zaidi ya wengine. Mvuto una maana ya uwezo wa ku-attract.

Wanasemna kuwa uzuri siyo kigezo cha kutengeneza mahusiano ya kudumu. Kujenga uhusiano wa kudumu, wapendanao lazima wawe attracted to each other.

Nikuulize swali: ungependa kwenda mahali ambapo unashangiliwa au mahali ambapo unavumiliwa?
 
21: Belina Mgeni

Belina-3.jpg

Belina-Mgeni3.jpg

Nyamayao best hebu mpimie na huyu....

60/100...watu8, kuna wanawake wazuri/warembo eti, ukikutana nae uansema mashallah muumba alitulia siku hiyo, ishu ni kwamba hawa ni media zinawaremba/wanafahamika, halafu na huyo wolper nae? mhh
 
Hahaha...umaarufu kazi ati halafu wakati huo huo inabidi kujiweka sopusopu...

Hata mimi nakubaliana nawe kuwa kuna wazuri zaidi ya hawa, lakini kwa leo nimewamulikia wale maselebriti tu waliopo kwenye tasnia ya burudani

60/100...watu8, kuna wanawake wazuri/warembo eti, ukikutana nae uansema mashallah muumba alitulia siku hiyo, ishu ni kwamba hawa ni media zinawaremba/wanafahamika, halafu na huyo wolper nae? mhh
 
Mbona hamsemi kuwa wake wenu wazuri wanaowatunza na kuwabembeleza usiku mkiwa mnakoloma?wanawatunzia watoto wenu,kukupikia chakula,kukufulia nguo hadi chupi mnabaki kusema mnabaki kusifia Masister DU wa mjini.

HAKUNA MWANAMKE MBAYA ZAIDI YA MATUNZO..
 
60/100...watu8, kuna wanawake wazuri/warembo eti, ukikutana nae uansema mashallah muumba alitulia siku hiyo, ishu ni kwamba hawa ni media zinawaremba/wanafahamika, halafu na huyo wolper nae? mhh

You're right. Pamoja na kuwa ni asimilia 2 tuu ya wanawake wanajihisi ni wazuri, there are beautiful women out there ambao wanaume wengi wanaweza hata kusimama na kusema Damn!!, but you will never see them in the press.

Wanawake wengi huwa wanapima uzuri wao kwa kuangalia beauty mark za utamaduni wa pop.

kwa kufanya hivyo, wana-narrow down maana nzima ya kuwa beautiful, na hivyo kujikuta hawajiamini kama ni wazuri.
 
watu8 nasubiri picha za
Mercy galabawa
,Lilian Kusekwa
Meninna Atick
Fezza kessy
Sauda Kessy
 
Usimsahau Emili Melau...alieeshinda shindano fulani sikumbuki jina
 
Mbona hamsemi kuwa wake wenu wazuri wanaowatunza na kuwabembeleza usiku mkiwa mnakoloma?wanawatunzia watoto wenu,kukupikia chakula,kukufulia nguo hadi chupi mnabaki kusema mnabaki kusifia Masister DU wa mjini.

HAKUNA MWANAMKE MBAYA ZAIDI YA MATUNZO..

Thread inahusu female celebrities. Majority ya wake siyo celebrities.
 
watu8 nasubiri picha za
Mercy galabawa
,Lilian miss shinyanga(nimesahau jina lake lapili)
Meninna Atick
Fezza kessy
Sauda Kessy

ahaa wapi, Saida! huwa najiulizaga alishindaje sijui miss aspen, au kipindi hiko wazuri walikuwa hawajazaliwa labda, huyo mercy nilikuwa namkubali sana, nilikuja kuona picha zake alijikoboaa ule urembo wotee ukapotea kabisa, sijui wadada nani anatudanganya jamani.
 
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.

tuwekee mkuu
 
Back
Top Bottom