ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
naam best, huyo anakimbiza kwenye muvi zetu za Kimatumbi...
Mkuu hawa viumbe ni wazuri bana
From muonekano, maumbo plus urembo
Kumbuka karibu wote hao ni mamiss kwa namna moja au nyingine
Na mojawapo ya sifa ya kuwa miss ni lazima uwe mzuri wa kuvutia
Sasa labda utupe tafsiri ya neno mzuri, sijui unamaanisha tabia? na tabia ipi? sipendi kuhukumu mtu
Clopatria anasadikiwa alikuwa mwanamke mzuri kuliko wote lakini......
Kila nikimpigia simu nimueleze ya moyoni hapokei,nikituma sms hajibu,nimejaribu ku mrequest fb sijaona responce yoyote,au nichukue kadi ya ccm nijiunge na UVCCM ndio unielewe? MH.ESTA ukinikubali kesho ntakupeleka nyumbani ukamuone mama.
Usinge muweka huyu ningekata rufaa kwa Mod
Mkuu hata wewe unaruhusiwa kutupiamo mafoto ya walimbwende...btw huyo ni Mange Kimambi?
Tufanye hawa ni wale unaowajua wewe na wanaojulikana sana na wananchi kwa sababu walishawahi kuwa katika medani za ulimbwende tanzania na kwingineko.
Ila sijajua kigezo ulichotumia kuweka hawa mabinti hapa kama most beautiful kwa mujibu wako. labda unge define hiyo kwanza ndo tungekuelewa vizuri.
Mtoa mada naona humjui Latifa Mnyanga wewe, dogo anasoma form III hapa kitaa kwetu. Laiti ungemuona hawa malaya wako wote ungewasahau...
Next time ongezea "Walio maarufu"