MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,856
kuzimu kupo tu bwana, you go with a smile.
Nalo neno.............duuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuzimu kupo tu bwana, you go with a smile.
Hahahah....kulikoni Nyamayao, umemkubali huyo binti eenh!!!
Wakwetu huyo ni Jack Cliff 'beach babe'......tih tih.....ngoja na mimi nilete picha zangu nikiwa beach lake Duluti......mtakomajeeeeeee.......
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
Mkuu hawa viumbe ni wazuri banawatu8 nilidhani uzuri na urembo ni vitu viwili tofauti?
Hao kwenye list ni wazuri, warembo, or both?
Wanasema uzuri ni zaidi ya mwonekano lakini urembo ni mwonekano peke yake. Uzuri ni zaidi ya usoni pia.
Mie ningependa tuwazukie hawa na vipima maji vyetu saa 12 asubuhi na mapema kabla hata hawajanawa nyuso zao au wakiwa ndio kwanza wametoka bafuni kuoga kabla hawajajiremba ili tuwapime live.
3: Jacqueline Ntuyabaliwe
![]()
![]()
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
Mkuu pesa mwana haramu bana
Huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga Mzee Mengi handisamu
Namba 2...I am not convinced
Mkuu hawa viumbe ni wazuri bana
From muonekano, maumbo plus urembo
Kumbuka karibu wote hao ni mamiss kwa namna moja au nyingine
Na mojawapo ya sifa ya kuwa miss ni lazima uwe mzuri wa kuvutia
Sasa labda utupe tafsiri ya neno mzuri, sijui unamaanisha tabia? na tabia ipi? sipendi kuhukumu mtu
Clopatria anasadikiwa alikuwa mwanamke mzuri kuliko wote lakini......
Jamani hiyo miguu, mmhhh!!!! Tiba
pamoja na hivyo jokate sio kabisaaa wa kawaida sana tu, mtundike na huyo dada ninaekwambia basi, sijui jack nani