My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG

Hapo sawa, sio hivyo vinyago vingine
 
Duuuuuh kuna kazi humu ndani hebu weka wengine maana sijaona bado.....
 
17: Genevieve Mpangala

DSC_0011.jpg
 
Nadhani umemkumbuka wakati akiwa na ngozi kama hii...

wema.jpg

Hivi alipokuwa ameanza kutumia hayo mambo alikuwa na nani maana yaonyesha huyo ndio aliyempa ushauri wa kumdanganya ....
 
Hahaha...kipenzi huyo msupuu ni mrembo sana...jaribu kutafuta mafoto yake uone vile yupo!!!



huyo no 5 ni nani? huyo jokate mbona ka kawaida sana tu! kuna yule mdada sijui anaitwa jack nani, mumewe alikamatwa na ishu ya "mbwimbwi" anafaa kushika hiyo nafasi ya jokate.
 
Hizi zote takataka. Wazuri wako vijijini. Hawa rotion kali na photo shops!
 
Ifuatayo ni orotha ya walimbwende ambao kwa mtizamo wangu naamini ni warembo bora kabisa hapa nchini Tanzania.

Orodha hii ina mjumuisho wa warembo ambao ni Vipusa waliopita wa Tanzania, Watangazajia, Models na wengineo wengi.

Nitajitahidi kutupia picha na maelezo binafsi ya muhusika japo kwa uchache...
watu8 nilidhani uzuri na urembo ni vitu viwili tofauti?

Hao kwenye list ni wazuri, warembo, or both?

Wanasema uzuri ni zaidi ya mwonekano lakini urembo ni mwonekano peke yake. Uzuri ni zaidi ya usoni pia.

Mie ningependa tuwazukie hawa na vipima maji vyetu saa 12 asubuhi na mapema kabla hata hawajanawa nyuso zao au wakiwa ndio kwanza wametoka bafuni kuoga kabla hawajajiremba ili tuwapime live.


 
Back
Top Bottom