Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 9....mikorogo inamuharibu
pamoja na hivyo jokate sio kabisaaa wa kawaida sana tu, mtundike na huyo dada ninaekwambia basi, sijui jack nani
Wakwetu huyo ni Jack Cliff 'beach babe'......tih tih.....ngoja na mimi nilete picha zangu nikiwa beach lake Duluti......mtakomajeeeeeee.......
Jack Cliff au beach baby
Bearing in mind uzuri ni subjective, then siwezi kukupa definition ya uzuri. Sana sana nitakupa definition yangu ambayo ni very subjective. Mwanamke anaweza kuwa mzuri kwako lakini asiwe mzuri kwangu.
Definition ya mwanamke mzuri haina tofauti na ile ya terrorist. One man's terrorist, might be another man's freedom fighter. Vile vile one man's ugly woman might be another man's beautiful woman.
Na kama tunaangalia uzuri wa wanawake wa Tanzania kwa kuwaangalia models au Mamiss Tanzania, then tutakuwa tunaangalia wanawake less than 2 per cent. Hata hao wanaofanikiwa kuingia kwenye mashindao ya Umiss lazima wawe na connection na wandaaji.
On the other hand, wapo wanaosema kuwa objectively kila mwanamke ana features za uzuri kama zikuwa captured well na mpiga picha wa ukweli. Ndo maana sometimes tunakatiza kitaa unakutana na kiumbe ambacho huna haja kugeuka hata kwa wizi na kukiangalia mara mbili mbili hata kama uko anayekumiliki.
Of course, objectively Halle Berry anaweza kuwa mzuri kuliko than Whoopi Goldberg. Angalia hata kwenye hii thread kuna ambao Watu amewaweka kama wazuri lakini wachangiaji wengine wanapinga.
Hivyo hivyo, wengine watasema Uma Thurman ni mzuri, wengine watasema anafanana na chura. Alek Wek anaweza kuwa ni famous model lakini watu wengine wanaweza kusema Naomi Campbell ni mzuri zaidi, na wengine watasema wote wawili look ugly.
Lakini sijawahi kusikia mtu yoyote, including me, akisema kuwa Halle Berry siyo mzuri, though I am sure wapo baadhi ya wanaume ambao watasema J.Lo (siyo yule wa bongo) ni mzuri kuliko Halle Berry.
In fact, wapo mpaka baadhi ya wanawake ambao wangependa kuwa na uzuri kama wa J.Lo. And, who knows, may be hata Halle Berry angependa awe na uzuri wa J.Lo japokuwa sie huku tunamzimikia ile mbaya. Kwa hiyo, mara nyingi uzuri ni subjective hata kwa yule aliye nao.
Ndiyo maana siku hizi mie nimeamua kujikita kwenye personality zaidi. lol
13: Lisa Jensen
![]()
imekuaje?mbona miguu mizuri tu
Harafu naona 98% nywele za Shop
Uswazi unakuta mtu ana kipilipili chake lakini ni mrembo wa haja
Mkuu naona umeshindwa kunisoma...I very much disagree...Mmetumia vigezo vile vile vya magazeti ya urembo ya magharibi(Vogue,Alure,W)...They don't represent beauty ktk hali halisi ya kiafrika.
Dhumuni pekee la kufanya shindano la Miss Tanzania ni kupata muwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya ulimbwende ya dunia...Nakumbuka kuna wakati miss Tanzania alienda Mwanza ktk zmoja ya ziara zake one comon man akapayuka.."haaa!Miss Tanzania wa wapi huyu hana wowowo!?"...and the guy was very right..sisi Waafrika tunavigezo vyetu.
Hawa uliowaweka ni Maarufu tu AND NOT THE MOST BEAUTIFUL!
Mkuu pesa mwana haramu bana
Huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga Mzee Mengi handisamu
3: Jacqueline Ntuyabaliwe
![]()
![]()
Mkuu NIGGA, hiyo miguu ni mizuri kwa vigezo vyako, lakini kwa vigezo vyangu, mmmmhhhhh!!!!!
Tiba
baba mkubwa watu8 mbona umemsahau na huyu hapa LADYFURAHIA View attachment 104067
Ninaomba umvizie siku ametoa haya manywele ya maiti ndo utajua jack ni mzuri au lah. nilivyomuoan sikuamini kama ndie. nywele zimenyonyoka, mbayaaaaa,nyekunduuu na sura ikaharibika yote. Mimi naona ungewaweka wakiwa natural ndo ungejua nani mzuri na nani mbaya. usidangwanywe na mmakeup na hzo nywele. watu8
yaani hiii picha nimekuikubali sana tena sana acha tu sijui huyu mtoto View attachment 104072siku hz yuko wapi kaka watu8
Harafu naona 98% nywele za Shop
Uswazi unakuta mtu ana kipilipili chake lakini ni mrembo wa haja
Nama 14. mmhhh nimekubali!Huwa anapatikana wapi huyu?