My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Duuuuuh kuna kazi humu ndani hebu weka wengine maana sijaona bado.....
 
17: Genevieve Mpangala

 
ameiharibu ngozi, na kwa maoni yangu ngozi ni muhimu sana katika kuthamanisha urembo wa mtu.

Nadhani umemkumbuka wakati akiwa na ngozi kama hii...

 
May be mrs Mengi! Ntuyabaliwe na mrs Nyalandu! Faraja Kota!
 
Nadhani umemkumbuka wakati akiwa na ngozi kama hii...


Hivi alipokuwa ameanza kutumia hayo mambo alikuwa na nani maana yaonyesha huyo ndio aliyempa ushauri wa kumdanganya ....
 
Hahaha...kipenzi huyo msupuu ni mrembo sana...jaribu kutafuta mafoto yake uone vile yupo!!!



huyo no 5 ni nani? huyo jokate mbona ka kawaida sana tu! kuna yule mdada sijui anaitwa jack nani, mumewe alikamatwa na ishu ya "mbwimbwi" anafaa kushika hiyo nafasi ya jokate.
 
Hizi zote takataka. Wazuri wako vijijini. Hawa rotion kali na photo shops!
 
watu8 nilidhani uzuri na urembo ni vitu viwili tofauti?

Hao kwenye list ni wazuri, warembo, or both?

Wanasema uzuri ni zaidi ya mwonekano lakini urembo ni mwonekano peke yake. Uzuri ni zaidi ya usoni pia.

Mie ningependa tuwazukie hawa na vipima maji vyetu saa 12 asubuhi na mapema kabla hata hawajanawa nyuso zao au wakiwa ndio kwanza wametoka bafuni kuoga kabla hawajajiremba ili tuwapime live.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…