Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Labda alisoma naeJoined yesterday at 8:39am.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alisoma naeJoined yesterday at 8:39am.
So you have with you a record of bad experience about love hope am. Not your last resortI have never found the right words to tell or describe how I feel about you. I love you. I hope you know that my love for you grows with each breath in the depth of my heart. I love you always. I used to go to sleep every night, wishing to find true love. Every day I'd get more and more disappointed until I finally met you.
Ngoja siku likadonyolewe jitu kwa kupenda penda kupitia moment!. Hawa ndo wanabambiaga wake zetu kwenye daladala hawa🤣🤣🤣🤣Mkuu wadada ni watano wawili joined 2014 Moja joined 2015 wengine wawili 2019
Hua nawazoom Instagram
Tusubirie tuone itakavokuaNgoja siku likadonyolewe jitu kwa kupenda penda kupitia moment!. Hawa ndo wanabambiaga wake zetu kwenye daladala hawa
We unadhan kwa akil hizi vijana wanakuwa na tabia kama wamebalehe jana wakikutana na toto linajitunza, linanukia, zigo vunja chaga kama Lamomy Si watamienda hawa?Tusubirie tuone itakavokua
Mara nyingi hawa wanaotongoza kupitia thread nahis na mtu tu anajipigia promo....ktk hali ya kawaida ni ngumu mtu kupambania mrembo kwa approach ya ajabu kias hiki, hata mtaani ukimwelewa demu huwezi enda kichwa kichwaWe unadhan kwa akil hizi vijana wanakuwa na tabia kama wamebalehe jana wakikutana na toto linajitunza, linanukia, zigo vunja chaga kama Lamomy Si watamienda hawa?
Wanajifunza kutongozea humu..Mara nyingi hawa wanaotongoza kupitia thread nahis na mtu tu anajipigia promo....ktk hali ya kawaida ni ngumu mtu kupambania mrembo kwa approach ya ajabu kias hiki, hata mtaani ukimwelewa demu huwezi enda kichwa kichwa
Komredi naona unavyobubujikwa na machozi huku ukitetemeka baada ya kusoma huu uzi ulioandikwa kwa kiingereza cha kisukuma. Ila manzi yako si alijifunza Karate akiwa jeshini? Mwambie ampe kisago huyu boya.Nitaua mtu humu .wewe acha ajifanye anaandika kingereza akafikiri labda sifahamu . Sisi watu wa nyanda za juu kusini hatunaga utani utani .
Ah wapi.. kuna aina ya watu humu unawez kupredict wakoje! Any way hapo goba hamjambo?😂😂😂 Shem bana unazingua, ww uliniona wapi? Mimi kimbaumbau km mwiko wa pilau
😂😂😂 Sema kweli shem!! Mi niko bonyokwa huko goba hata sipajui kunafananajeAh wapi.. kuna aina ya watu humu unawez kupredict wakoje! Any way hapo goba hamjambo?
Ngoja nikutumie text dm😂😂😂 Sema kweli shem!! Mi niko bonyokwa huko goba hata sipajui kunafananaje
Asikuambie mtu maumivu mara mbili nimepigwa ban huku naona likenge linaandika nyuzi kwa mpenzi wangu ephen_Captain Fire katika moja na mbili baada ya kupigwa ban.
Poa poa shem nakucheck 😜
Nichek mkuu mm nishamaliza ujana. Feel securedPoa poa shem nakucheck 😜
😂😂😂 Hapo kwenye “Nishamaliza ujana” ndo panapotia ukakasiNichek mkuu mm nishamaliza ujana. Feel secured
Uzi nmeufunga lasmi stak yoyote acomment bint ana dharauNgoja aje
Sasa lamomy mm nile ujana na nani kwa uzee huu?😂😂😂 Hapo kwenye “Nishamaliza ujana” ndo panapotia ukakasi