Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi.
Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa nampenda sana baada ya kuona hakuna future nikaona nimute Mimi na kazi busy busy 24/7 kweli nilimsahau kidogo ila siku mbili nawashwa namcheki what'sup uzuri hakunipenda yule bwana so ni kama naforce na Hilo ndo lilinipa nguvu ya kuachana nayo maana nikijicalculate naona value yangu Ni kubwa Sana bila yeye naishi tu mbona pia napendwa na weengi Mimi tu na moyo wangu mdanganyifu.
Basi bwana nimeteseka na yule bwana namuacha siku mbili tatu namuomba turudiane .alivokauzu ananipokea Tena hivo yaani najitoa najirudisha hivo hivo kiukweli nilimpenda hata sio kwamba ana hela au Nini hicho Mimi sijui hata hajawai kunipa Wala sijawai kumuomba sina shida kiivo labda ushauri tu maana yuko fresh upstairs.nilimpenda Sana tu
Nilimpenda sana ila nikaona tu niushinde moyo wangu niseme inatosha.ila niseme Ni kazi Sana kumuacha mtu unaempenda japo unajua yeye alishakuacha sijui mnanielewa.yaani unakuwa kwenye mahusiano na mtu hujui hata yanahusu Nini ila unaumia tu
Inaendelea
Nikaendelea na mahusiano hayo on /0ff on / off for years.kwa vile nilimpenda Kila kitu changu namuambia ila yeye sikumjua kiviile halafu since sikutaka kitu kwake zaidi ya yeye mwenyewe sikuona issue sana.nilikuwa nafeel to happy kumpenda .I like loving !!!
Siku moja bna nikaona nianze tu maisha yangu upyaa.
Si unaweza kuwa single tu kiukweli ,empty [emoji176] heart.big visions and dreams.???
Ile siku bna niliumwa siku tatu mtu unamuambia tuachane hata hakuulizi kwanini? Hata hakubembelezi nikikumbuka acheni tu it hurts jamani nikafikiria kutafuta hata mchepuko ila kudanganya mtu kusema kweli siwezi niliumiaaaa nilikuwa na kg 80 nikafika 96
Itaendelea nalia kwanza
Inaendelea
Finally niliweza kuachana nae japo moyo ulikuwa unamtamani mwanzoni Sana tu.n
I loved that guy for sure mazee.unajua ile pure love eeh acheni tu
Nikajitahidi kujikusanya maana nilikuwa vipande vipande at least nikawa mtu kiasi.
Kwanza nikaanza kujipenda Sana Sana .nikaanza kufocus kwenye maisha.ibada, investments,safari,familia etc