Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda .hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi.
Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa nampenda sana.baada ya kuona hakuna future nikaona nimute Mimi na kazi busy busy 24/7 kweli nilimsahau kidogo ila siku mbili nawashwa namcheki what'sup uzuri hakunipenda yule bwana so ni kama naforce na Hilo ndo lilinipa nguvu ya kuachana nayo .maana nikijicalculate naona value yangu Ni kubwa Sana bila yeye naishi tu mbona pia napendwa na weengi Mimi tu na moyo wangu mdanganyifu
Basi bwana nimeteseka na yule bwana namuacha siku mbili tatu namuomba turudiane .alivokauzu ananipokea Tena hivo yaani.najitoa najirudisha hivo hivo.kiukweli nilimpenda hata sio kwamba ana hela au Nini hicho Mimi sijui hata hajawai kunipa Wala sijawai kumuomba sina shida kiivo .labda ushauri tu.maana yuko fresh upstairs.nilimpenda Sana tu
Nilimpenda sana.ila nikaona tu niushinde moyo wangu niseme inatosha.ila niseme Ni kazi Sana kumuacha mtu unaempenda japo unajua yeye alishakuacha sijui mnanielewa.yaani unakuwa kwenye mahusiano na mtu hujui hata yanahusu Nini ila unaumia tu
Jamani Kuna mtu anapiga simu Sana daah
Itaendelea
Itaendelea ngoja Kuna simu inaita