My new song kokoko available in all digital platform 🌎

Wazungu siku hizi wanaimba Kiswahili sana, lugha yetu imekubalika.
 
Unaweza shangaa ukakuta huyo ni mwanaume.
 
Lyrics pls kabla hatujaparamia nyimbo za kina cocastic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huyo unaemuona ni wa mahadhi gani? Kubali zama zako zimepita, kwani hujui "wakati ni ukuta"? Poleeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…