Mbona unaonekana bado kijana kabisa, una miaka mingapi babu?Hahaha.............. ukifanya hivyo, Babu yako nitakupa lazi ujue 😜
Ndiyo mkuuKwa kiswahili umesemaje matrako au?
Why not? Ningeridhika na niliye naye kwa wakati huoKuna punda na pundamilia.
Mmoja anafugwa na mwingine afugwi.
Mmoja anapata matunzo na mwingine ni kwajili ya kuangalia na kuburudika.
Kupanga ni kuchagua. Kila mtu ana haki yake. Chagua yako.
Mfano wewe ndo ungekuwa huyo patna. Inapita nyash, halafu usigeuke; ungeweza?
Hapana mkuuWe ni abigal Chams?
Akhuuu yasije yakazidi nikashindwa kutembea na kukimbia kwa amani😁😁Njoo nikuuzie dawa ya kupaka uwe na nyash na hips 😹
Mwezi Ujao natimiza miaka 79 ujue, kwahiyo nimekula chumvi nyingi ujue 🤗Mbona unaonekana bado kijana kabisa, una miaka mingapi babu?
Mleta mada sijajua hadi saivi ni Nini unataka? Unataka namna ya kuwa na nyashi kubwa? au mwanaume wako aache kugeuka nyuma kuangalia nyashi za wengine?JAkhuuu yasije yakazidi nikashindwa kutembea na kukimbia kwa amani😁😁
Nataka aache kugeuka nyuma ndiyo naomba mnisaidie nifanyaje?Mleta mada sijajua hadi saivi ni Nini unataka? Unataka namna ya kuwa na nyashi kubwa? au mwanaume wako aache kugeuka nyuma kuangalia nyashi za wengine?
Kweli wewe babu yangu, shikaamoo babu msalimie bibiMwezi Ujao natimiza miaka 79 ujue, kwahiyo nimekula chumvi nyingi ujue 🤗
Marahaba Mjukuu, hakika Bibi yako atafurahi sana kupokea salamu zakoKweli wewe babu yangu, shikaamoo babu msalimie bibi
Asante sana babu, weekend njemaMarahaba Mjukuu, hakika Bibi yako atafurahi sana kupokea salamu zako
Kwako pia MjukuuAsante sana babu, weekend njema
Asante kwa ofa babu mimi bado kijana atleast hapo kwenye kahawa🙂↕️😁Kwako pia Mjukuu
Ukiweza pitia Mgahawa wa Waturuki hapa Mlimani tupate Kahawa pamoja 🤗
Hahaha..............haya utaenda kula kuku wa KFC ama hapa MaryBrown 🤗Asante kwa ofa babu mimi bado kijana atleast hapo kwenye kahawa🙂↕️😁
Tupa taulo kwenye ulingo. Just kidding 😃😃There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Neither really to ME. I like mostly flat butts with really nice hips. Still looking.There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Hapo umetisha babu😁😁😁Hahaha..............haya utaenda kula kuku wa KFC ama hapa MaryBrown 🤗
Mh! Ule mzito utanielemeaUnatamani mzigo kama wa kijumbe wa upatu tapeli Nicole? Au ule umezidi