My partner loves women with big nyash, what should I do?

My partner loves women with big nyash, what should I do?

Tatizo huwa mnajihisi tu.

Siku moja nikiwa na maiwaifu wangu maeneo fulan, mbele yetu kumbe kuna kifaa kimemzidi kwa mbali kidogo km km 5 hivi kwa nyuma. Mimi wala sijaona nashangaa ananiambia... UNAANGALIA NINI HUKO, NYIE WANAUME MKOJE?

Mimi nashangaa ndio ikabidi nianze kuangaza nikauona mzigo, tena mzigo kweli unafaa na una sifa zote unaelekea tunakoenda. Ilibidi nnicheke tu. Maana yeye ndiye kanionesha mimi nolikuwa sijaona
Hapo ukawa unawaza ungekuwa mwenyewe ungerusha ndoano😁😁😁
 
Wala sikuwahi kufikiria hilo mpaka leo.
Utataka kurusha kwa wangapi? Mikalio mikubwa ni mingi mno.🤣🤣🤣😂
Kuna wanaume huwa hawajali kabisa kwa siku unakuta anachukua namba za wanawake hata 10
 
Kuna punda na pundamilia.
Mmoja anafugwa na mwingine afugwi.
Mmoja anapata matunzo na mwingine ni kwajili ya kuangalia na kuburudika.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu ana haki yake. Chagua yako.

Mfano wewe ndo ungekuwa huyo patna. Inapita nyash, halafu usigeuke; ungeweza?
 
Njoo nikuuzie dawa ya kupaka uwe na nyash na hips 😹
Jirani hii biadmshara umeanza lin si umuuzie mange maana kuna muda anatingisha hata visivyotingishika. Kuchosha tu mifupa aje awape shida madaktari wa mifupa huko uzeeni.
 
There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Kwa kiswahili umesemaje matrako au?
 
Back
Top Bottom