Kwamba mkuu wewe haunalo😁😆😘😜!
Nikupe moyo kwamba, 'kuvunja shingo' kwa kumezea mate matako makubwa ni starehe za kiume zisizo na uhalisia.
Ni burudani tu kuyaangalia na baada ya hapo starehe huwa imeishia hapo hapo,asikudanganye mtu.
Huyo mubaba anapenda kumiliki wanawake wa aina yako ndiyo maana alikuchagua, maana yake anakupenda na hawezi kubadili upendo na hisia zake umezibeba wewe.
Hata mimi nilipokuwa kijana na hata sasa, hupenda kuangalia wanawake wenye makalio mzigo na nikiwaangalia huanza kubishana katika nafsi: 'hapana haiwezekani, hilo lote haliwezi kuwa lake' huku natembea ivo!
Sipendi kufanya mapenzi na wanawake wenye sifa hizo, ila furaha yangu huwa ni kuwaangalia tu kwa macho walivyoumbwa na kuanza kuubishia kwa ukweli nnaoujua dhahiri!
Huyo mubaba mwache avunje shingo awezavyo, ni starehe zetu hizo wala hakuna madhara yoyote ni sawa na kusoma gazeti na kuliacha.
Kitu ambacho huwa sikipendi ni kule kuingiliwa na mtu yeyote uhuru wangu wa kusorolea, na kuanza kuhojiwa eti kwa nini ninaangalia huko, pia nikigundua mtu ananifuatilia kwa macho kuniangangalia usoni kama kunishushua sehemu ninakoangalia, hujisikia hasira za kukatishwa stimu.