kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #101
Hongera kilimo kinalipaNiko nanjilinji huku navuna alizeti.
Hongera kilimo kinalipaNiko nanjilinji huku navuna alizeti.
Inaumiza kuona mwenzi wako haridhiki na weweSasa kama unajua tukiwa wenyewe huwa tunaangalia😂, sasa si hata ukiwepo uvumilie tu maana unajua huwa tunaangalia🤣🤣
Sasa Binti sayuni ,maisha hayapo hivyo hata uwe mpenzi wa wali,huwezi kula kila siku,lazima utabadilisha mlo, in fact,ukila mlo ule ule kila siku,unaongeza risk za magonjwa.kabla sijatoa ushauri wangu naomba uweke sample ya iyo nyashi hapa pamoja na wewe mwenyewe ili tufanye uchambuzi yakinifuHapo anakuwa amenidharau mimi, kwanini aangalie wengine wakati yupo na mimi
Akhuuu mnataka kunicheka naonaSasa Binti sayuni ,maisha hayapo hivyo hata uwe mpenzi wa wali,huwezi kula kila siku,lazima utabadilisha mlo, in fact,ukila mlo ule ule kila siku,unaongeza risk za magonjwa.kabla sijatoa ushauri wangu naomba uweke sample ya iyo nyashi hapa pamoja na wewe mwenyewe ili tufanye uchambuzi yakinifu
Sasa unanishaurije jamani
Kuna watu kama 40 huduma zimeanza saa sita na sasa ni saa nane na nusu wamehudumiwa watu wasiozidi 6...hii nchi hii......hawa waendelee kuchonga hips tu mengine hawayaweziYaani watanzania tuna masihara sana na Afya sasa muda wote huo kwanini wasimtibie au kuna foleni?
Kwa kiasi fulani kinalipa ndo maana nimeweka hadi bajeti ya kuja kuwatembelea huko dasalamu mnamo mwezi Juni.Hongera kilimo kinalipa
Kama bado unaweza kuandika Kiingereza, basi tatizo ni dogo sana.There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Ngoja uachwe ndo utapata akiliMmmh😁😁😁 bado hujanidanganya
Kisa tako, loh! Alivyonitongoza hakunionaNgoja uachwe ndo utapata akili
Nalitatuaje sasa mkuu?Kama bado unaweza kuandika Kiingereza, basi tatizo ni dogo sana.
Safi sana mkuu umefanya jambo zuriKwa kiasi fulani kinalipa ndo maana nimeweka hadi bajeti ya kuja kuwatembelea huko dasalamu mnamo mwezi Juni.
Poleni sana yaani sisi watanzania wavivu sanaKuna watu kama 40 huduma zimeanza saa sita na sasa ni saa nane na nusu wamehudumiwa watu wasiozidi 6...hii nchi hii......hawa waendelee kuchonga hips tu mengine hawayawezi
Sitaki kuchekwa mieUngetupia na kanyash kako ili tukushaur vizur
Mimi nimeridhika shida yeye hajaridhikaLizika na ulicho nacho ndugu,uctafute makuu
Asante kwa ukumbusho mkuuTunakumbushia tena nyumba ni choo tena kiwe kisafi