kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #141
Ngoja niamini kishingo upandeAmini alichokwambia pia jiamini maana naona shida ipo kwako huji amini thus why
Ngoja niamini kishingo upandeAmini alichokwambia pia jiamini maana naona shida ipo kwako huji amini thus why
Tell him to pay the billI can't afford costs 😫😫
I haven't enough moneyGo for surgery
Hana hizo pesa za michezoTell him to pay the bill
Mungu fundi sana aisee, haya tunawaacha muwatazame ila tuliyopo ndiyo sisi sasaTukiwa wote kwenye iST likapita GX-R au BMW kali nikageuka kulitizama na kusema gari zuri sana hilo, ntakuwa sijaridhika na iST?😂😂
Hebu mtuache tufurahie uumbaji wa Mungu.
Ila tu hata nyie kimoyomoyo huwa mnasema dah huyu kanizidi kwa shepu. Mungu kampa shepu. Sasa hizo shepu nani anatakiwa kuziangalia.
Namshukuru muheshimiwa Mungu kwanzaEnewei,ila tulia kuwa na Amani,sisi tunapenda nyashi ila tunaoa wenye akili.kwakuwa wewe ndo umewekwa ndani basi mshukuru mmeo.
Hiyo roho mbaya mkuuNa mim ushauri sitoi naogopa kuchekwa
Upwiru hauna mgomo!Ulisema hutaki tena mahusiano,imekuaje tena cute?
Upwiru utakuwezesha kutoboaUyole-Nanenane-Sai-CCM-Mama John-Mwakibete-Soweto-Kabwe-Mwanjenlwa-Mafiati-Maghorofani-Kadeghe-Meta/Umati-Simike-Mbembela-Nzovwe-Iyunga-Ituta-Iwambi
Hutoboi mkuu.😁😁😁
😁Upwiru utakuwezesha kutoboa
Enlarge ya' assI don’t have those big nyash
Tatizo huwa mnajihisi tu.Ni kweli lakini kuna muda muwe mnavunga mkiwa na wapenzi weny basi
Take care 😘Pamoja mkuu
sasa babu mwenyew hajui kuandika hata neno radhi kwann usisumbuliwe?Kumbe ameamua kutusumbua Wazee wake🙌
Ukiendelea hivi Mjukuu Binti Sayuni03 Babu yako nitakupa lazi ujue 😜
Usimsikilize huyo ni kweli hayo niliyoyasema kabisa, japo nimesahau ulinishauri nini hadi nirudi kwenye comment yako🙂↕️😁😁Kumbe ameamua kutusumbua Wazee wake🙌
Ukiendelea hivi Mjukuu Binti Sayuni03 Babu yako nitakupa lazi ujue 😜
Kwahiyo umekariri matak yao tu duh! Wewe kiboko😁😁😁🙌Hupaswi kuwa na hasira kwahilo hata mimi ndio ugonjwa wangu.binafsi naweza kumtambua mwanamke kwa kumwangalia nyashi pekee imefikia hatua napoteza sura za wanawake wengi kwasasa.