My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

Inasikitisha sana, inahusu this albino kid alipitia magumu mengi.
Thanks nimeiona,..inafanana na when they say us title yake..nayo ya watoto blacks (true story) wanasingiziwa wamembaka mtoto mwenzao(white) wanafungwa..tho ni series
 
Hii km sijaielewa. Mhusika anakuwa na tatizo gani?
Mtoto wake alifanyiwa hijacking wakati akihangaika apate mahali atibiwe, sasa katika juhudi za kumtafta mwanae kosa alimpeleka mtoto niseme kama dispensary ambapo hakujua kama huwa wanafanya biashara ya kuuza viungo vya binadamu. Fanya kuiangalia then utaleta mwenyewe mrejesho hapa.
 
Angalia post ya 93 utaona cover lake Angel Nylon
Thanks. Niliangalia lkn story sijaielewa. Si kuna mtt anaanguka sijui. Then its like baba mtu vitu anavoviona inakuwa sio uhalisia..its like anakuwa na mental disorder. Inakuwa kama alimpush mtt bila kujua...Ndio hapo nilitoka kapa yaani sijaelewa niadmit
 
Pole ungefanya tu ku rewind hata mara moja taratibu ungeelewa vizuri tu 😁
 
Attachments

  • Screenshot_20240910_010230_Netflix.jpg
    Screenshot_20240910_010230_Netflix.jpg
    418.4 KB · Views: 7
# The Hurricane
# Emancipation
# Django
# The Banker
# The Covenant
# Emperor
# Birth of a Nation
# 12 years a Slave
# Harriet
# Freedom
# Roots/Kunta Kinta
# Papillon
# Killing of Mr Chamberlain
# Where Hands Touch
# Colombiana
# Amistad
# Home of a Brave
# Kursk
# Lone Survivor
# The Hate U Gave
# Without Remorse
# Just Mercy
# A Journal for Jordan
# Woman Soldier
# Mutiny
# Men of Honor
# Unthinkable
# Rules of Engagement
# Where the Crawdads Sing
# A Jazzman's Blues
# Apocalypto
Kwa uchache
 
Back
Top Bottom