My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

Wee acha hizo habari, pambana na ardhi yako, duniani hamna cha wote
 
Nani kakuambia pesa zake, hizo mi pesa za wananchi wake we unadhani kwenye mshahara wake atatoa hata dollar moja.
The House of Saud Ruling Familiy ni absolute Monarch kuanzia Watu ni Subject wao na Ardhi ya Kingdom na vilivyomo ni mali yao.

We jamaa Mweupe kama kanzu upstairs.
 
Wamembadili wanamwita Jesus.

"Translation" ya jina?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kama unalazimisha kwamba wamembadili, sawa, ngoja nikuanze na ujinga wako.

Kwaio na waswahili nao wamembadili na kumwita "Yesu"? Huko madrassa ndo mnafundishana hivo?

PATHETIC!
 
Kama unalazimisha kwamba wamembadili, sawa, ngoja nikuanze na ujinga wako.

Kwaio na waswahili nao wamembadili na kumwita "Yesu"? Huko madrassa ndo mnafundishana hivo?

PATHETIC!
Huwa sikisii.

Wamebadili. Mwenye nia ovu tu ndiye mwenye kubadili jina la mtu.

Kama ni "tafsiri" mbona Bush hatumwiti kichaka kwa kiswahili?

Tuanze kumwita Trump "Tarumbeta", si ndiyo Kiswahili chake?

Kwanini ubadili jina la mtu?

Unajuwa maana kamili ya jina la Isha Kiamhari, lugha ya Yesu? Tafsiri sahihi ya jina lake kwa Kiswahili tungewita Aishi, tunao wengi hao Kiarabu. La kike lake ni Aisha.

Yesu ingekuwa ni tafsiri kama utakavyo kwa Kingereza inabidi aitwe Living.
 
The House of Saud Ruling Familiy ni absolute Monarch kuanzia Watu ni Subject wao na Ardhi ya Kingdom na vilivyomo ni mali yao.

We jamaa Mweupe kama kanzu upstairs.
For your infomation
the king must comply with Sharia law and the Qur'an. We hapo huoni hafati hata moja na huyo bado hajawa King anatumia kimvuli cha baba yake.
Huyo kutokana na sheria ya Saud Arabia haruhusiwi kununua hilo picture la Monalissa wako.

Pia Qur'an na Sheria zinasema kila mtu apate haki yake, kiongozi na wanao hukumiwa hapo inakusudia wananchi zake.

Ujinga wa kikristo peleka Kanisani.
 
For your infomation
the king must comply with Sharia law and the Qur'an. We hapo huoni hafati hata moja na huyo bado hajawa King anatumia kimvuli cha baba yake.
Unajua tofauti ya "Republic" na "Absolute Monarchy" ?! Au naongea na Mtoto wa Madrasa?!

Utajiri wa Saudi Arabia ni wa Rulling Family sio wa Wananchi Saudi Arabia sio Republic.

Republic Kiarabu ni "Jamahiriyah" rudi Madrasa kamuulize Ustazi wako akufafanulie.
 
Sijui unaongea ujinga gani ila Jina halisi la Yesu linajulikana, na lugha aliyokuwa anaongea inajulikana.
 
R na L?

Never, iyo kondoo mimi, madrassa matamshi yanatiliwa mkazo kuliko chochote kile.
You have serious mental issues, hizo R na L zimetokea wapi, ulipo rekebishwa hapahusiani na hizo R na L zako.

Vipi bibi?
 
Unajua tofauti ya "Republic" na "Absolute Monarchy" ?! Au naongea na Mtoto wa Madrasa?!
Absolute Monarchy ni huko kwa wazungu wenu kwenye nchi za kislamu nenda katazame Saud Arabia au nchi za Kislam wanatakiwa wafate Qur'an na Sheria kama hafati huyo ni Jambazi.

Kwenye Qur'an na Sheria hakuna ujinga wa Absolute Monarchy au Republic huo ujinga pelekeni kwa watu walio fata mafunzo ya Paulo.
 
Hawezi kufanikiwa kwa sababu nchi za magharibi wanajua hivi hana anasumbua je chizi akiwa na rungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…