imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Pesa zake wewe unampangia kama nani?! Wewe ustazi wa Ikwiriri.Kama sio upagani ni nini, hilo picture la Monalissa litamsaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa zake wewe unampangia kama nani?! Wewe ustazi wa Ikwiriri.Kama sio upagani ni nini, hilo picture la Monalissa litamsaidia nini?
Mimi sifiki huko bado sana kwenda huko, vipi wewe wamefanikiwa kukutibu au bado.Wahi Mirembe Mental Hospital
Huwa sikisii.Wewe bibi ni mnafiki wa level ya juu, unarekebisha wenzako ila wewe ukirekebishwa unakataa.
WASTE🗑
Nani kakuambia pesa zake, hizo ni pesa za wananchi wake we unadhani kwenye mshahara wake atatoa hata dollar moja.Pesa zake wewe unampangia kama nani?!
Wee acha hizo habari, pambana na ardhi yako, duniani hamna cha woteKama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
The House of Saud Ruling Familiy ni absolute Monarch kuanzia Watu ni Subject wao na Ardhi ya Kingdom na vilivyomo ni mali yao.Nani kakuambia pesa zake, hizo mi pesa za wananchi wake we unadhani kwenye mshahara wake atatoa hata dollar moja.
Kama unalazimisha kwamba wamembadili, sawa, ngoja nikuanze na ujinga wako.Wamembadili wanamwita Jesus.
"Translation" ya jina?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Saudi Arabia sio "Republic" we Jamaa umesomea Madrasa.hizo ni pesa za wananchi wake
Hukisiii ila unakoseaHuwa sikisii
Wavaa kobazi wenzako japo hawakujui, lakini kwa kuwa wote ni wafuasi wa mudi ni sawaIran ni nchi yenye nidham ya hali ya juu sana tofauti na mnavyosema
Huwa sikisii.Kama unalazimisha kwamba wamembadili, sawa, ngoja nikuanze na ujinga wako.
Kwaio na waswahili nao wamembadili na kumwita "Yesu"? Huko madrassa ndo mnafundishana hivo?
PATHETIC!
For your infomationThe House of Saud Ruling Familiy ni absolute Monarch kuanzia Watu ni Subject wao na Ardhi ya Kingdom na vilivyomo ni mali yao.
We jamaa Mweupe kama kanzu upstairs.
R na L?Hukisiii ila unakosea
Unajua tofauti ya "Republic" na "Absolute Monarchy" ?! Au naongea na Mtoto wa Madrasa?!For your infomation
the king must comply with Sharia law and the Qur'an. We hapo huoni hafati hata moja na huyo bado hajawa King anatumia kimvuli cha baba yake.
Sijui unaongea ujinga gani ila Jina halisi la Yesu linajulikana, na lugha aliyokuwa anaongea inajulikana.Huwa sikisii.
Wamebadili. Mwenye nia ovu tu ndiye mwenye kubadili jina la mtu.
Kama ni "tafsiri" mbona Bush hatumwiti kichaka kwa kiswahili?
Tuanze kumwita Trump "Tarumbeta", si ndiyo Kiswahili chake?
Kwanini ubadili jina la mtu?
Unajuwa maana kamili ya jina la Isha Kiamhari, lugha ya Yesu? Tafsiri sahihi ya jina lake kwa Kiswahili tungewita Aishi, tunao wengi hao Kiarabu. La kike lake ni Aisha.
Yesu ingekuwa ni tafsiri kama utakavyo kwa Kingereza inabidi aitwe Living.
You have serious mental issues, hizo R na L zimetokea wapi, ulipo rekebishwa hapahusiani na hizo R na L zako.R na L?
Never, iyo kondoo mimi, madrassa matamshi yanatiliwa mkazo kuliko chochote kile.
Absolute Monarchy ni huko kwa wazungu wenu kwenye nchi za kislamu nenda katazame Saud Arabia au nchi za Kislam wanatakiwa wafate Qur'an na Sheria kama hafati huyo ni Jambazi.Unajua tofauti ya "Republic" na "Absolute Monarchy" ?! Au naongea na Mtoto wa Madrasa?!
As they say, "Power dreams of more Power"
Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.
Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.
Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?
I think that's their driving ambition.
View attachment 3143168
Hawezi kufanikiwa kwa sababu nchi za magharibi wanajua hivi hana anasumbua je chizi akiwa na rungu?Unajua tofauti ya "Republic" na "Absolute Monarchy" ?! Au naongea na Mtoto wa Madrasa?!
Utajiri wa Saudi Arabia ni wa Rulling Family sio wa Wananchi Saudi Arabia sio Republic.
Republic Kiarabu ni "Jamahiriyah" rudi Madrasa kamuulize Ustazi wako akufafanulie.
Wewe kama huelewi unachokisoma siyo tatizo langu ni tatizo la shule za kusomea ujinga.You have serious mental issues, hizo R na L zimetokea wapi, ulipo rekebishwa hapahusiani na hizo R na L zako.
Vipi bibi?
Jina lake nani? Aliongea lugha ipi kama siyo Aramaic?Sijui unaongea ujinga gani ila Jina halisi la Yesu linajulikana, na lugha aliyokuwa anaongea inajulikana.