Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Kuna mataifa ni maovu.
Namba moja ni Iran.
Sasa, wanajaribu kutengeneza umoja wa uovu, na waovu wenzie Urusi, China na North Korea.
Haya mataifa yakifanikiwa kuungana, kuyazidi nguvu mataifa mema, (ya magharibi), dunia haitakuwa sehemu salama ya kuishi.
Labda kwa kifupi sana nikupe tafasri ya UOVU.
Uovu ni udikteta.
Udikteta ni hali ya kutaka watu wote waishi kama unavyotaka wewe.
Mfano mzuri ni Iran, inalazimisha watu wote wawe waislamu, kitu ambacho ni kinyume hata na maagizo ya Mungu, Mungu hajalazimisha watu wote kufuata maagizo yake.
Ndiyo maana akatengeneza destinations mbili, wanaofuata maagizo waende destination moja, wasiofuata waende nyingine.
Iran, anadanganya dunia kuwa ni taifa la kidini, anaungana na wakomunisti, Urusi China na Korea wasiotambua Mungu, ndio marafiki zake.
Huyu ni muovu, aliyejivika udini ili kutimiza uovu wake.
Sasa waovu wameamua kuungana ili kutengeneza Axis of evil, (mhimili wa uovu).
Yetu ni macho na masikio, tuone kama watafanikiwa.