Hahaha wakiweka free hapashikika hapo , pesa unalipia ndo inatumikw kupatunza na kuonekana pamependeza na mji kuboreshwa ili mnapenda mpate huduma zote , Kodi za wasaudia isiwe ndo inawawekea huduma zote , nany mchangieHapo hapatakiwi kumilikiwa na mtu kila muislam anatakiwa aende kama anahela zake matokeo yake vikundi vinajimilikisha kulipisha watu hela mamilioni kwenda hija imekua kama utalii sasa
Bibi ebu kamuhudie babu, maana naona sasa unaongea vitu havielewekiWewe kama huelwewi unachokisoma siyo tatizo langu ni tatizo la shule za kusomea ujinga.
Mbona Allah kawabariki kuwa na Akili nyingi ni Wamewazidi Waisilamu kwa ugunduzi.Kuna vifo vingine ni kheri kuliko kuishi na binadamu wanao amini binadamu ni Mungu.
Unamfahamu Abdul Kalam alikuwa Indian aerospace scientist afu akawa president of India mwaka 2002 huyo sio Muislam?Mbona Allah kawabariki kuwa na Akili nyingi ni Wamewazidi Waisilamu kwa ugunduzi.
Mbona Waisilamu Allah kawatenga wamebakia tu na Chuki dhidi ya Wakristo na Wayahudi lakini ukiangalia kwenye Nobel Prize ya Ugunduzi na ubunifu Waisilamu hawamo.
Sasa hivi hata Mashoga wako mbele kwa ubunifu wakati ninyi mnasema Allah anawachukia Mashoga?!
Mimi kila mwezi lazima nisaidie masikini Alhamdulilah na enjoy lakini nahakikisha masikini lazima nimsaidie.Ww pesa zako unawapaga maskin ? Au pesa zako zina matumizi ila za wenzio za kusaidia maskin
Kwa week mbili ndio kutawala 😄Sehem gan duniani ilitawaliwa milele ?
Kasoma Ilmu Dunia ndio maana kafikia hapo alipo angesoma Madrasa sana sana angeishia kuwa Shehe mwenye kueneza chuki dhidi ya "Makafiri"Unamfahamu Abdul Kalam alikuwa Indian aerospace scientist afu akawa president of India mwaka 2002 huyo sio Muislam?
Tatizo hata Firauni si alikuwa hakubali ukweli kila Firauni ana wakati wake. Siwezi kuongea kama kichaa kushindana na kiongozi asiye ogopa kudhulumu. Nitaongea kama nina nguvu tuko wengi hata Mwenyezi Mungu alitukataza kupoteza wakati wetu kuongelea vitu na mtu asiye kubali ukweli.Unasema tu humu Jf hebu nenda Makka ukaseme ukione cha Moto😆
MBS kajiapiza kuwanyoosha Magaidi dizaini yako mpaka mnyooke.
Kasema hataki tena Siasa Kali za kuweka Mabomu na kuua Binadamu wasioamini katika Allah Suna zake nk.
Kasoma Ilmu Dunia ndio maana kafikia hapo alipo angesoma Madrasa sana sana angeishia kuwa Shehe mwenye kueneza chuki dhidi ya "Makafiri"
Kulikuwa na Mafarao zaidi ya 200,unamuongelea Farao gani?!Tatizo hata Firauni si alikuwa hakubali ukweli
Al-Walid bin Musab bin Arahun bin Al-Halot bin Qaran bin Amr bin AmliqKulikuwa na Mafarao zaidi ya 200,unamuongelea Farao gani?!
Wahi Mirembe hivi uongo unawasaidia nini?!Al-Walid bin Musab bin Arahun bin Al-Halot bin Qaran bin Amr bin Amliq
Kama ni kwenu mbona mnaenda na passportPalipo msikiti wa Makka ni panatuhusu wote wakae kwa kutulia hao wasaudi
Kuna mataifa ni maovu.Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Nipe hiyo aya ya kwenye biblia inayosema jiwe takatifu lipo kwenye nchi takatifuKichaa upagani mpaa leo upo huyo mtoto wa mfalme wa Saud Arabia ananua picture la kuchorwa kwa bei ya mabillion huo ni upagani, wewe ni mpagani unaye abudu binadamu.
Makkah walikuwepo hata Tanzania walikuwepo sa ajabu ipo wapi.
Bibilia yenu inawambia Jiwe takatifu lipo kwenye nchi takatifu nyie bakini na ujinga wenu.
Unakurupuka huwezi nielewa.Bibi ebu kamuhudie babu, maana naona sasa unaongea vitu havieleweki
Sisi kazi yetu kukumbusha na kuwaambia ukweli kama kuabudia masanamu na kuna wajinga huko India niliona wanaabudia mbwa kua sio njia sahihi ili baadae tusije kulamiana kwahaqika kabisa dini ya kweli mbele ya Allah ni Uislamuislam ni uongo na utapeli wa kiimani tu
Kwa moto anaopelelekewa zayuni angeweza hilo unalo liwaza unadhani angeliacha kufanya mnadhani tupo kwenye ule uongo wenu wa six day waaaIsrael ikiaamua inaweza kuwafukuza Waarabu kutoka Syria hadi Iraq wakutanie Iraq au Syria kusini.
Iran ni adui wa Wasunni kuliko alivo kwa Israel, siku ambayo Watu Wasyria na Saudi Arabia walivosikia Nasrallah amelamba mchanga waliacha kupigana wakaanza kushangilia, sababu ya mauwaji yaliyofanywa na Iran pamoja na Hezbollah