My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

Ukisikia mkristo anapigana basi anapigania uhai, anapigania ardhi, nchi, utawala. Mungu atajipigania mwenyewe dhidi ya wapotoshaji na wale wote wanaoharibu neno lake.

Si uliona Yesu alijipigania mwenyewe pale hekaluni na hakuna aliyemgusa? Ndivyo nguvu ya Mungu inavyofanya kazi.

Kumpigania Mungu ni dharau moja kubwa sana na ni kufuru pia.
 
Ndio maana niliacha kusali kwa sababu ya minada kanisani

Ukimsoma Yesu alikataa kufanyia biashara kanisani
 
Mbona unapinga hoja bila fact wee Jamaa badala yake unaleta mahubiri mwenzio ameoanisha mpaka evidence ni kwamba Imani imekufanya kuwa zwazwa au ni Tomaso in birth
 
Makka ni eneo la Wapagani "Makafiri" lililotekwa na Waisilamu katika karne ya Saba.
Hajui historical fact 😁😁😁😁

Makkah ni eneo ambalo mababu wa kale walikuwa Wana litumia kuabudu Mizimu yao na kutokana na Imani Hiyo kuwa na nguvu Kwa wakati huo Hilo eneo ndio lilikuwa linatumika ktk kutoa nguvu ya ushawishi wa Viongoz Kwa wakati huo , Yaani ilikuwa ukiambiwa na makuhani wa wakati huo kuwa mtu Fulani amebarikiwa na miungu kutawala Makkah basi wananchi wote wanafuata that's why Hiyo sehemu ni strategy Sana Kwa sababu linatumika ktk kui empower Saudi Arabia kiushawishi ktk siasa za kimataifa Kwa kutumia Imani yao , waislam wakati wanapambana kuwa na power walilazimika kupateka hapo kwaajili ya Hiyo influence ya Hilo eneo ili waweza kupata ushawishi zaidi kupitia Imani iliyopo ya kiungu iliyo simikwa na Ibrahim mahala hapo ,
 
Allah kama ana nguvu kama unavyodai asingengoja Wafaransa waje kuukomboa Msikiti yeye angetuma Radi na Malaika na Upepo mkali ulioambatana na Umeme.

Ati Allah hana nguvu anategemea atume BinadamuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜
😁😁😁😁 Allah anategemea makafiri wa ufaransa wamsaidie yaani Allah anasaidiwa na shetani πŸ™ŒπŸ™Œ Imani ni uchizi
 
Kafiri ansingie Makkah wakati ndo anayeilinda Saudia na Makkah ikiwa ndani yake?
Tatizo wewe akili zako finyu hivi unadhani Waislam watamruhusu kafiri aguse Makkah Al Mukarama subuti hio ni ndoto. Kawaulize wafaransa vizuri kama kuna mla nguruwe aligusa pale. Labda hao askari wawe Waislam, kwani jeshi la ufaransa hakuna Waislam? Kenge mmoja wewe.
 
Allah story was the biggest scammer of human history ukiguatilia sana Kuna tetesi Roman Catholics invented Islam that's why Quean nzima no copy and paste ya Judaism Mudy alizaliwa 650 after Christ wakati huo Judausm torra ilimuwepo na manabii wote sasa hawa nyumbu utasikia oooh Ibrahim alikuwa Myislamu doh wewe Ibrahim ulimjuaje????Ukiangalia sana utagundua hawa makobazi wengi akili zao hawajielewi
 
Kafiri hagusu Makkah wacheni wawakimbize Mirembe.
Huna akili , kafiri hagusi Makkah wakati kila siku Makkah inalindwa na wanajeshi wa USA halafu mkija huku mnasema utawala wa USA ni utawala wa kikafiri , Yaani Mungu ana ruhusu nyumba yake ya ibada iwe ina Lindwa na makafiri wanao support ushoga usagaji ufilaji na mauaji na Huyo mungu yupo Tu amekaa kimya huyo mungu atakuwa na akili kweli !?

Huyo mungu na wanao muabudu wote ni vichaa maana mna contradiction nyingi sana kmmk
 
Uislam ni dini ya kizushi iliyozushwa miaka 600 baada ya ukristo haiwezekani from know where mtu anajiita mtume na anaanzisha dini
Nimeisha jibu nani aliye anzisha ukristo? Yesu au Paulo kama Yesu dalili yenu ipo wapi? Kama ni huyo mkosa njia alipotea pale njia panda, lazima awapoteze ndio mana kaleta msalaba chagua wapi uende. Njia zote tatu niza motoni, zipo mbili fupi na moja refu.
 
Wanalinda Saud Arabia hahaha au wamenda piga magoti wana njaa ya pesa, wapi US alilinda Saud Arabia wakati Al Houth anamsukumia missiles na drone. Jeshi la nguruwe haliwezi kulinda Makkah acheni ujinga kimbieni Mirembe kabla hamjakosa vitanda.
 
Sawa lakini miaka 600 badae akaibuka na kukopi baadhi ya maandiko Yao mengine akakopi kwenye Mila za waarabu Kisha akajiita mtume na kujianzishia dini yao
 
saudia ni bure kabisa wao kazi kula biriani na mandi na mikanzu yao,wakijishughuisha sana ili watoke jasho ni kufanya mashindano ya magari ya V8 jangwani hawashughulishi vichwa kuwa imara kijeshi na ki intelijinsia na ndo maana walivyoomuua kashogi walimuua kitoto sana hata chizi angejua waliomuua kashogi ni akina nani kwa ule utoto wao walioufanya...WANGEJITAMBUA WANGEKUWA WALAU MBALI BY NOW LAKINI WANATUANGUSHA SANA VIALAZA WALE
 
Sawa lakini miaka 600 badae akaibuka na kukopi baadhi ya maandiko Yao mengine akakopi kwenye Mila za waarabu Kisha akajiita mtume na kujianzishia dini yao
Sa na Yesu alicopy kwa Mussa na Mussa alikopi Kwa Daud au mimi Muongo? Mtume Muhammad ndio ka copy kwa Yesu, Mussa na Daud hata Qur'an inakiri hatutofautishi Mitume wa Mungu walikuja na ujumbe mmoja.

Hio ya kusema Mtume Muhammad ka copy kwa Paulo na wafuasi wake ni uwongo wa hali ya juu kabisa. Mtume hawezu hata siku moja kufata mafunzo ya Paulo ni mafunzo ya kishetani.

Kuna lingine? Sa we hukujibu nani kaleta Ukristo na nani kaleta Uyahudi?
 
Yesu hajawahi kopi Kwa Musa Cha pili Musa alikuwa muebrania na yesu alikuwa muebrania anahaki na hayo maandishi Sasa kwanini mudi awakopi waebrania Kisha asema ameshushiwa?
 
Yesu hajawahi kopi Kwa Musa Cha pili Musa alikuwa muebrania na yesu alikuwa muebrania anahaki na hayo maandishi Sasa kwanini mudi awakopi waebrania Kisha asema ameshushiwa?
Kwanza napo sema ka copy sio kasoma vitabu vyao hahaha, Mtume alikuwa hajasoma mana ya ku copy ni kwa kuleta ule ule ujumbe wa Mungu walio kuja nao kina Ibrahim, Mussa na Yesu na Mitume wengine. We kwa kuwa kichaa unadhani alicopy vitabu vyao, hivi vitabu ni ujumbe wa Mungu sio Mussa au Yesu waliviandika, walishushiwa na Mungu kama vile Mtume Muhammad wao ilikuwa ni kuvifikisha tu kama ujumbe πŸ˜„ Sa Yesu alipo zaliwa alisema nimepewa kitabu, mana yake nini? Mlimuona kazaliwa kashika kitabu hahaha. Alikusudia ujumbe wa Mungu, na kitabu ni reference wa ujumbe ambao utandikwa.

Mungu alisha wauliza mnao sema Ibrahim ni Myahudi dalili zenu ziko wapi? Ibrahim alikuwa ni Muislam. Sa sileteni dalili zinazo sema Ibrahim alikuwa Myahudi? Hamna na hamtaweza kuleta kama vile hamuwezi kuleta dalili Yesu ni mkristo.

Hizo hadithi za kusema Yesu hakucopy ujumbe wa Mussa na Ibrahim na Yakobo na wengine ni ujinga ulio pitwa. Kwa hio Yesu yeye alileta ujumbe gani? Wa miungi mitatu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…