Hamna kipande kilichonivutia kama ile safari ya Arya na Sandor Clegane, ilianza wakiwa maadui wakubwa.
Ila mwishoni walikuja kuwa mabest sana.
Pale mwishoni Clegane anaenda kupigana na bro wake Arya anamshukuru "Clegane thank you" na alikuwa kwenye ile list yake.
Mwanzo nilikuwa simkubali Clegane, ila alikuja kuwa my favorite character. Hasa alipojiunga na wale brotherhood without banners. Akakutana na Berric Dondarrion.
Jamaa ana lugha na misemo ya kuchekesha sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app