Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hivi yule mwanaume wa kuanza nae maisha uliekuwa unamtafuta ulimpata au niingilie kati?Hivi hamuoni aibu uzi wa akili nyingi kama huu mmeugeuza genge la story? Tena comments za mwanzoni tuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mad man say what he say and whatever the place.Hivi hamuoni aibu uzi wa akili nyingi kama huu mmeugeuza genge la story? Tena comments za mwanzoni tuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha inasambaa huko the red priestess akiwa na mwili wa Danny.. so mwendeleze ujao unaweza kuona kafufuliwa. Sema tu hueez tabiri kitu kwa hawa jamaa. Ngoja tuone mwisho wakeWalinikera walipomua khaleesi, mother of dragon [emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Red priestess si amekufaaKuna picha inasambaa huko the red priestess akiwa na mwili wa Danny.. so mwendeleze ujao unaweza kuona kafufuliwa. Sema tu hueez tabiri kitu kwa hawa jamaa. Ngoja tuone mwisho wake
Mkuu mm nilikua napenda jinsi Ser Davos anavyomkubali Jon snow.. pale anaeleza mbele ya Danny kule Dragonsgate jinsi jon a alivyouawa na kufanya mema hadi jon akampiga davos jicho anayamaze. Yaani alikua anamkubali mno.Ningeshangaa sana usingemtaja ser devos, huyu jamaa hakusoma hapo mwanzo lakini alikua na akili sana. Kuna wakati alishauriwa kua wamuambie melisandre ukweli lakini ser devos alijibu not a time. Pia vary alimshauri tyrion kua asilipize kisasi mpaka apate muda sahihi wakati anamueleza jinsi alivokatwa.
Da'Vinci usisahau stori ya Poldric ambae anaonekana ni mtu asiyejua mapenzi lakini amewaridhisha malaya 3 na wakaamua hata kumuongeza fedha
Melisandre nae alkua anamkubal danny, ndo maana alkua anampa air time ya majina.Mkuu mm nilikua napenda jinsi Ser Davos anavyomkubali Jon snow.. pale anaeleza mbele ya Danny kule Dragonsgate jinsi jon a alivyouawa na kufanya mema hadi jon akampiga davos jicho anayamaze. Yaani alikua anamkubali mno.
Missandei alikua akianza kuelza majina ya Danny mara Mother of dragon..Unburnt,Breaker of chains blah blah kibao.. ila Davos yeye alikua anasema tu. "MY Queen this is Jon snow,He is King in the North
Ni Missandei demu wa Turgo Nudo.. Malisandei ni the red woman.Melisandre nae alkua anamkubal danny, ndo maana alkua anampa air time ya majina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wangu S1 yote nilimchukia Sendor ila alipokua na Arya ndio nikaanza kumpenda.Baadae akabadirika akawa mwema akajiunga na Brotherhood. Jamaa anachonifurahisha hua hapendi shobo na mtu.. hata madem hana muda nao..Yaani ananichekesha kweli hasa kule North of the wall Dead Amry wamekaa wanaogopa kuja akawarushia jiwe dogo..Akaongeza lijiwe likubwa halafu halikufika Wafu wakajua kumbe hatuwezi zama wakaanza kuwafuata. Huo ujinga wake ulipeleke kifo cha Tharos.Hamna kipande kilichonivutia kama ile safari ya Arya na Sandor Clegane, ilianza wakiwa maadui wakubwa.
Ila mwishoni walikuja kuwa mabest sana.
Pale mwishoni Clegane anaenda kupigana na bro wake Arya anamshukuru "Clegane thank you" na alikuwa kwenye ile list yake.
Mwanzo nilikuwa simkubali Clegane, ila alikuja kuwa my favorite character. Hasa alipojiunga na wale brotherhood without banners. Akakutana na Berric Dondarrion.
Jamaa ana lugha na misemo ya kuchekesha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahh, yule mtumwa.Ni Missandei demu wa Turgo Nudo.. Malisandei ni the red woman.
Mim nilpenda alvyomwambia joffrey, https://jamii.app/JFUserGuide THE KING af akasepa.Upande wangu S1 yote nilimchukia Sendor ila alipokua na Arya ndio nikaanza kumpenda.Baadae akabadirika akawa mwema akajiunga na Brotherhood. Jamaa anachonifurahisha hua hapendi shobo na mtu.. hata madem hana muda nao..Yaani ananichekesha kweli hasa kule North of the wall Dead Amry wamekaa wanaogopa kuja akawarushia jiwe dogo..Akaongeza lijiwe likubwa halafu halikufika Wafu wakajua kumbe hatuwezi zama wakaanza kuwafuata. Huo ujinga wake ulipeleke kifo cha Tharos.
Pengine S8ep4 baada ya Jaime kwenda kumgonga Briene Tarmund akabaki analia eti My heart is broken akawa anamshika Sendor bega..sijui alidhani atabembelezwa. Alijibiwa Don't Fuccking Touch me