My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

Mkuu kitu kinapikwa ngoja tuone mbeleni huko mwendelezo utakuaje.. maana hata mm sikufurahishwa ilivyoisha
 
Halafu the red woman baada ya kumuua princess shreeen alikua anapewa vitisho vya kuuawa na mashabiki. Yaani utadhani ni kweli kumbe ni kuigiza tu
Kumbe wazungu nao ni vilaza hivi, nilidhani inatokea Bongo tu Duh
 
Mkuu comment yako nimeileta huku ili utoe mchango wako..
 
GOT Series ambayo huwa siichok kuiangalia hata kama imeisha stil siwezi ifuta

If people asking you what happen here,Tell them winter came for house frey-Arya stark
A lannister always pay his debt-Tyrion lannister

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni moja ya series nimeziangalia sana sana.. nikiwa bored naangalia episode kadhaa hafu kila siku naona bado mpya
 
Asante mkuu Da’Vinci’.
Sikuwahi kuingia kipande hii ingawa ni mpenzi pia wa movies na nimefurahia sana michango ya wadau ukiwamo wewe mwenyewe ambayo imeniongezea mwanga kuhusu GOT.
Pamoja sana kamanda karibu uangalie hutajuta
 
The Wind of winter anamalizia na itaendelea series
 
Halafu Tyrion na Bronn walimwita awape somo kafanyaje..haha
 
Niliona hii tag muda, ila nikasema nikupe muda yawezekana umenitag bahati mbaya na pengine utarudi kufuta kama ile siku.
Siku ile nilihisi hutapenda nilichoandika ndio nikawa naogopa usione. Maana wote walikua wananibonda mawe mimi..wakati nilifanya kwa huruma tu
 
Tarmund Giantsbane kakutwa na Corona..katangaza kwenye Page yake Insta
 
Nimekumbuka unafiki wa Lord Barish kwa Lady Sansa..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…