My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

Ila walimalizia vibaya mno brand stack nialikuwa anaona matukio ya mbele sasa why alivyochaguliwa kuwa mfalme wa Six mana sasa aliomba ajitoe katika seven kingdom kingdom alimuweka msaidizi wakati yy aliona kila kitu c ujinga uwo

121.
 
Umeireview vizuri sana Da'Vinci,,, hii ni moja ya series tamu sana kuiona!

Hii ni moja ya Series ambayo toka mwanzoni mwa Season huwezi kupredict sterling ni nani na matukio yajayo yatakuwaje.

Ila kwa comments zenu nmefurahi kugundua kumbe kuna season nyingine itafuata maana nilijua season 8 ndo mwisho wa mchezo.

Series nyingine bora sana ambayo nimeiona kati ya nyingi nilizoziona ni Iris1 na Iris2. Wakorea watu hatari sana
 
Ila walimalizia vibaya mno brand stack nialikuwa anaona matukio ya mbele sasa why alivyochaguliwa kuwa mfalme wa Six mana sasa aliomba ajitoe katika seven kingdom kingdom alimuweka msaidizi wakati yy aliona kila kitu c ujinga uwo

121.
Man kitu kinapikwa soon.. kinatoka!!
Bran mshnzi sana
 
Ila walimalizia vibaya mno brand stack nialikuwa anaona matukio ya mbele sasa why alivyochaguliwa kuwa mfalme wa Six mana sasa aliomba ajitoe katika seven kingdom kingdom alimuweka msaidizi wakati yy aliona kila kitu c ujinga uwo

121.
Hapan dogo alikuwa awezi kuona future yeye alikua anaona past na present na ndo maan hata kweny ile vita na night king akuwaambia kama watashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchambuzi makin sana
hongera mzee
 
Ila walimalizia vibaya mno brand stack nialikuwa anaona matukio ya mbele sasa why alivyochaguliwa kuwa mfalme wa Six mana sasa aliomba ajitoe katika seven kingdom kingdom alimuweka msaidizi wakati yy aliona kila kitu c ujinga uwo

121.
Mzee George RR Martin ashagusia kuwa huenda umalizikaji wa story hii ukawa tofauti kabisa na jinsi ilivyomaliziwa kwenye TV series. Tuendelee kusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee George RR Martin ashagusia kuwa huenda umalizikaji wa story hii ukawa tofauti kabisa na jinsi ilivyomaliziwa kwenye TV series. Tuendelee kusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo wafanyavyo mkuu. Vingi kwenye series na book ni tofauti kabisa.
2022 kitu kinakuja upya..ila imenisikitisha mno
 
Yes mkuu 2022 seeies ya The House of Dragon ndio inatoka. Ila inasemekana kua D&D hawatakua waandishi. Yaani wasipokua waandishi mm sitatazama
 
Da'Vinci yaani ulivyoichambua na wakati nilishaiangalia yote, nimejikuta nikitamani kuirudia aisee. Congrats nyingi sana kwako, hapa ushanipa kimuhemuhe cha kuisubiria The house of Dragon ila mpaka 2022 mbali aisee...
Naomba nisijepata kihoro/alosto kama iliyomkumba Obama😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…